Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

Yeah that's that homie.. Ila nimejiapiza ikinikuta nyingine sitafanya mzaha..

BTW hivi huyu Tunda anaweza kumfikia Viv Mrema au hata yule Lulu Mrema??
Lulu Mrema kinacho mfanya awe mzuri ni huko kukaa Uk na pesa ,kuna vitu local mjomba ukikutana navyo unashangaa labda kitu kama Janet Frisby ,
Au Michelle Mrema wa Aus wote ni status quo ya mshua inawabeba
 
kweli nmeamini hata uwe mkali vipi kumchunga mtoto wa kike ni kazi ... si ni mtoto huyu wa yule afande ambae aliyewika sana tanzania kwa utata Tanzania alimaarufu SABASITA
 
Dah kweli kupenda upofu, hakamati kwa mama chanja wangu hata robo, hata ule mchepuko wangu wa pale mkwakwani hakamati hata kidogo, labda mleta uzi hujawahi kuwa na mtoto mkali
 
kweli nmeamini hata uwe mkali vipi kumchunga mtoto wa kike ni kazi ... si ni mtoto huyu wa yule afande ambae aliyewika sana tanzania kwa utata Tanzania alimaarufu SABASITA
Wala hujakosea ,mtoto wa kike akishaonja utamu hata uwe kama Hitler hakuna utakalofanya ,Unafikiria kwanini Kanal Gadafi alikua analindwa na wanawake virgins ?
 
Lulu Mrema kinacho mfanya awe mzuri ni huko kukaa Uk na pesa ,kuna vitu local mjomba ukikutana navyo unashangaa labda kitu kama Janet Frisby ,
Au Michelle Mrema wa Aus wote ni status quo ya mshua inawabeba
True that.. That's inner beauty.. Ila hata huo uzuri usipouchunga nao unapotea in no time.. Kuna kidemu tulisoma nacho kalikuwa kakali sana tena boarding no make up na nywele wote mnanyoa.. Ile kufika High School na Chuo uzuri wote kwisha.. Mimi haka ka Tunda nitakipa maksi kama nitapata picha zake za miaka 5 mpaka 7 iliyopita..

Viv nimemuona since akiwa Teen and she was flawless since then..
 
Uzuri gani mkuu , sura ama umbo, sababu hivyo vyote hana,,, ila kwa sababu ni moja ya kaugonjwa changu ni mzuri kwa chakula cha jioni[emoji39][emoji12]
 
uzuri upi.tabia. au nini.uzuri wa mwanake tabia
 
Back
Top Bottom