UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Lulu Mrema kinacho mfanya awe mzuri ni huko kukaa Uk na pesa ,kuna vitu local mjomba ukikutana navyo unashangaa labda kitu kama Janet Frisby ,Yeah that's that homie.. Ila nimejiapiza ikinikuta nyingine sitafanya mzaha..
BTW hivi huyu Tunda anaweza kumfikia Viv Mrema au hata yule Lulu Mrema??
Au Michelle Mrema wa Aus wote ni status quo ya mshua inawabeba