Hivi kuna msichana Bongo anamzidi Tunda kwa uzuri??

MZIGO HANA. Pili anavaa kikuku mean wanampakua. Wa Kawaida MNO. WAZURI HAWAJITANGAZI.
Kutoa kidaka au kutotoa kidaka hiyo haimpunguzii uzuri, mbona Kim Kardashian anatoa kidaka ??
 
Mbona kama naona kuna raia kapewa kazi yakumnadi huyu demu tena kwanguvu zake zoooote, haka kademu sindio kametafunwa nayule anaejiita simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…