brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
- Thread starter
- #21
duuhUlisha wahi kuonana nae uso kwa uso? Kuna siku nilisha wahi kumwona Moro kwenye hotel flani du! Hamfikii lulu hata nusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duuhUlisha wahi kuonana nae uso kwa uso? Kuna siku nilisha wahi kumwona Moro kwenye hotel flani du! Hamfikii lulu hata nusu
Kila idaraMzuri ktk nini?!
Hamna kitu hapoHamfikii huyu kiumbe kwa uzuri![]()
Ha ha haa!!!swali anaweza kuzaa?
Tuma picha hata moja tulinganisheWapo wengi sana ila hawana shobo na social networks na maradio
Tembea uone
hata yeye ni cheap ....................... hivi uzuri ni kuanika makalio nje ama nnMtake radhi Tunda, yaan unamfananisha Tunda na Wasichana cheap kama hao??
Yaan ni sawa kumlinganisha Kim Kardashian na Shilole
Kaanika kalio wap??hata yeye ni cheap ....................... hivi uzuri ni kuanika makalio nje ama nn
hahahahaha jana wakati nalala alimwambia le mutuz maneno machafu hatare...........Leo watu mmeamka na ushwaini sana .. Naona thread za mademu tu leo..
Ngoja nirudi kwa mange kule insta nikaangalie update
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Akiambiwa atafute jawabu la swali lifuatalo kwa kutumia kwadratiki fomula anaweza? (2X^2)+(5X)+2=0
Kama hawezi sio mzuri!
vigoma vya daku ndio vigoma gani??Naona vigoma vya daku tu. Hongera zako mtoa mada.
Vinafanana na KIGOMA CHA URUGUAY!vigoma vya daku ndio vigoma gani??
hahahahaha watoto wa jf mna mambo sanaNaona vigoma vya daku tu. Hongera zako mtoa mada.
Aya kakaVinafanana na KIGOMA CHA URUGUAY!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sio tunda huyoTunda yule mpiga mziki