Lazima uwaibie ndiyo utatoboa..Ukizubaa utatafunishwa tambuu hadi magego yalegee.Nani aliwahi kufanya kazi kwa wahindi akaendelea japo hata kusomesha watoto achana na kujenga vizuri na mambo mengine
Na ukiwaibia hizo hela hutofanyia la maana, utaishia kulewea tu na kuhonga malaya.Lazima uwaibie ndiyo utatoboa..Ukizubaa utatafunishwa tambuu hadi magego yalegee.
Ila africa kuna tatizo sana,kabisa mtu unasema mlikua kijiweni mnapoteza muda?Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha.
Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu.
Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
Hiyo ndiyo raha ya Africa, kuwa na muda wa kupoteza. Kukosa muda wa kupoteza siyo sifa.Ila africa kuna tatizo sana,kabisa mtu unasema mlikua kijiweni mnapoteza muda?
Huo muda mliopoteza mtaufidiaje?
MmmhhhhIla africa kuna tatizo sana,kabisa mtu unasema mlikua kijiweni mnapoteza muda?
Huo muda mliopoteza mtaufidiaje?
huwezi kutoboa ambako thamani ya hela yako na huko uliko India hazina tofauti kubwaTulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha.
Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu.
Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
Magacholi walivyo na roho mbaya na wabaguzi atoboe wapi wakati nao wengi wao ni apeche alolo?Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha.
Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu.
Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
Kwani muda unawadai mkuu shida ya nchi zilizoendelea watu mpo busy na malipo ya kodi nyingi sana hata muda wa kuongea na mtu hauna kabisaa unakua kama upo jela tu life uwe na muda wa kutafuta pesa na ku enjoy na jamaa ikiwezekana sio muda wote upo busy kama umetumwa kuwa busy..Ila africa kuna tatizo sana,kabisa mtu unasema mlikua kijiweni mnapoteza muda?
Huo muda mliopoteza mtaufidiaje?
Kuna baadhi ya wasanii wa bongo movie, walikwenda huko wakaishia kujiuza tu na kuliwa na WanigeriaTulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha.
Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu.
Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
Ongeza Uarabuni na China ?Tulikua kijiweni tunapoteza muda,jamaa mmoja akatuambia anataka ajilipue aende India kutafuta maisha.
Nikawaza,then nikaingia youtube kucheck maisha ya wahindi wenyewe tu huko India ni mara mia ya hapa kwetu.
Hivi kuna mtanzania aliwahi kwenda kujitafuta India akatoboa?
Wapo ninaowafamu kwa hapa bongo kikubwa ujue kula la kipofu.Nani aliwahi kufanya kazi kwa wahindi akaendelea japo hata kusomesha watoto achana na kujenga vizuri na mambo mengine