Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Ushawah kufika?
wabongo walivyo matomaso sasa na ushuuda wote ila watataka kwendaSijawahi kusikia nilokwenda kule kikazi mwaka jana sasa kwenye hoteli niliyofikia mlinzi wa pale hotelini akaniomba nimfanyie mpango wa yeye kuja Tanzania kufanya kazi ya Ulinzi, nilimjibu haiwezekani.
Nikamuuliza mshahara wake nakumbuka ilikuwa kama rupee elfu 80 kama laki 2 na nusu ya kibongo nikamjibu huku Tz mshahara ni kama huo ila kwa mhindi hawezi kukubaliwa kuwa mlinzi Tanzania labda kwa professionals.
Jamaa alisikitika sana kwa mimi kukataa kumsaidia kuja bongo kuwa mlinzi.
Kule maisha ni magumu sana kule kuna maskini huku bongo hakuna maskini kama wale .
Kule kuna watu ukoo mzima haumiliki hata kijipande cha ardhi hata vijijini.
Huku bongo unakutana na maskini ila ana miliki ardhi huko kijijini kwao ,kule hakuna .
Kuna siku nilitembelea ubalozini nikakutana na dada wa kibongo analia kwamba alidanganywa kuna kazi akapelekwa kule akaishia kwenye danguro akawa anafanyishwa kazi za sex halipwi chochote zaidi ya kupewa msosi.
Siku hiyo alibahatika kutoroka akakimbilia ubalozini passport hana walikuwa wamemnyang'anya ubalozi ndio ukawa unawasiliana napolisi waende kuchukua passport yake.
Kali kulipo yote hapo ubalozini siku hiyo nikakutana na mhindi mbongo .
Huyo mhindi mbongo alikwenda India kusalimia bibi yake alikuwa mgonjwa sasa akakaa hadi passport yake ya kibongo ikaexpire sasa akawa anataka atengenezewe passport nyingine na ile fomu kuna sehemu inatakiwa ijazwe na mdhamini ambaye lazima awe mbongo akawa ananiomba nimjazie nikawauliza wale maofisa wa ubalozini kwa nini wasimjazie wao wakanijibu wao hawaruhusiwi. Wale maofisa waliniomba sana nimsaidie eti ni mtanzania mwezangu nilimjazia kwa shingo uoande sana manake ninavyowachukia wahindi basi tu.
Ila jamaa alikuwa anaongea kiswahili fresh aliniambia anaishi mitaa ya kariakoo.
Jamaa anakwambia mishe zake zote ni bongo kule hapafai.
India asikwambie mtu ni nchi moja ya hovyo sana ila wanaigeria noma wale jamaa niliwakuta kule hadi wana maduka na vimgahawa wanakomaa na wahindi .
Siwezi kamwe kumshauri mtu aende India kutafuta maisha
Sijui kwann watu wanapenda kushindana kuonekana busy!!? Yan kuwa busy 24/7 kwa watu wengi huona kuwa ni sifa au ku slow down life kama mtu kapotea.sijui hii mentality kwann watubwanaimeza kama ilivyo , na hawa ni motivational speakers na ma influencer wa utubeHiyo ndiyo raha ya Africa, kuwa na muda wa kupoteza. Kukosa muda wa kupoteza siyo sifa.
Unajua tofauti ya lafudhi na lugha?Mkuu wahindi hawataki lugha yao jamii nyingi waijue kwa kusoma ata kwa kujifuta tu sehemu ya kazi au Nyumbani tofauti na nchi zingine, Wewe unaweza ukafanya kazi kwa wahindi ata miaka 10 na lugha yao usiifaham na mimi nikafanya kazi na Mwarabu miaka 3 nikajua lugha yao.
Ndiyo. Lugha ni mwasiliano.Unajua tofauti ya lafudhi na lugha?
Ni kweli kabisa mkuu,niliwahi kufika Alabama kuna mji unaitwa Mobile,una watu weusi wengi sanaa!!,halafu wengi wao choka mbaya na masela kwa sana.Sehemu yeyote yenye umaskini na ubaguzi ni ngumu sana kutoboa, hata US na utajiri wake, Southern states kama Alabama or Mississippi ni same shit kwa ajiri ya hizo sababu