The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Acha ugoro mkuu, ugoro ndio unakufanya uposti shombo kama hizi, kubwa la mapopomaBado nina Jezi za Kutosha tu za Timu ya Taifa ya Uganda ( The Cranes ) hivyo ambaye anataka anitafute haraka kwa PM ili nimletee hapo hapo alipo tena bure kabisa ili Jumapili wote tuzivae na tuishangilie Timu ya Taifa bora ya Uganda ( Uganda Cranes ) ikiifunga Taifa Stars ya Kocha ' mbovu ' na ' mbaguzi ' Emanuel Amunike kwa Mkapa ( zamani kwa Mchina ) au Uwanja wa Taifa.
Yaani akina Farouk Miya na Emanuel Okwi watuache? Thubutu!
Nawasilisha.