FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #201
Sasa hiyo glanza mi najua jinsi wanavyofanya hizo tuning? Sasa kama ni fair basi asiweke turbo maana uzito wa body la gari huendana na engine, engine kubwa means body zito pia, so ifahamike tu kwamba hako ni katoy mbele ya mnyama, basi...Yaani ki glanza chenye turbo ambayo ina produce 140 hp kama sikosei wewe unasema ili iwe fair una engine yenye 200 hp bila turbo bado uweke turbo ndio iwe fair fight? Sasa ushakuwa insecured hafla 😀
Unazingua 🤣🤣🤣🤣Hakuna, maana ilikuwa inaonekana mpya kabisa, japo ilikuwa giza.., tena injini inaonekana ilikuwa mnato sana, ilikuwa inapiga miluzi hatari.., haikuwa mbovu hata kidogo ile...!!
Hio ni stock from factory mzee, nimekwambia ina 138hp na turbo yake wewe una 200hp unaogopa nini sasa apo na unajiamini kuwa brevis anakimbia? hako ka engine ni kadogo tu 4 cylinders. wewe hilo body zito na engine nzito ndio vinakuponza kwa gari kama glanza au Altezza 3sge lkn hujui tu.Sasa hiyo glanza mi najua jinsi wanavyofanya hizo tuning? Sasa kama ni fair basi asiweke turbo maana uzito wa body la gari huendana na engine, engine kubwa means body zito pia, so ifahamike tu kwamba hako ni katoy mbele ya mnyama, basi...
Sawa sifungi Turbo basi, ila moto uko pale pale!Hio ni stock from factory mzee, nimekwambia ina 138hp na turbo yake wewe una 200hp unaogopa nini sasa apo na unajiamini kuwa brevis anakimbia? hako ka engine ni kadogo tu 4 cylinders. wewe hilo body zito na engine nzito ndio vinakuponza kwa gari kama glanza au Altezza 3sge lkn hujui tu.
Ninavojua mimi gari yenye hp ndogo haiwezi shindana na gari yenyw hp kubwa kama wote wataanza pamoja 0 km/hr mwenye hp ndogo atabaki kuona mkia tu...Sawa sifungi Turbo basi, ila moto uko pale pale!
Kuna factors nyingi tu na sio HP pekee ndio ina-matter.Ninavojua mimi gari yenye hp ndogo haiwezi shindana na gari yenyw hp kubwa kama wote wataanza pamoja 0 km/hr mwenye hp ndogo atabaki kuona mkia tu...
One downUsinipotezee muda wewe, sina kazi za kufanya au [emoji28][emoji28]
Unataka kusema gari yenye tani moja na horse power 197 inaweza kuiacha gari ya tani 2 yenye hp 270 from zero...Kuna factors nyingi tu na sio HP pekee ndio ina-matter.
Umeshafikiria khs Power to Weight Ratio?
Tani 1 na hp 197😛WR=Unataka kusema gari yenye tani moja na horse power 197 inaweza kuiacha gari ya tani 2 yenye hp 270 from zero...
Una bodi zitooo mzeee.... hujaelewa tu 😀Sawa sifungi Turbo basi, ila moto uko pale pale!
Mkuu brevis yako ni slow car tu miongoni mwa gari zenye mbio..Hata siku moja huwezi kushindana na Wrx ambayo haina tatizo lolote la kiufundi utaachwa mbali mno, usiione tena hiyo gari maishani mwako..Hakuna, maana ilikuwa inaonekana mpya kabisa, japo ilikuwa giza.., tena injini inaonekana ilikuwa mnato sana, ilikuwa inapiga miluzi hatari.., haikuwa mbovu hata kidogo ile...!!
ahahahahah, sio kweli!!Mkuu brevis yako ni slow car tu miongoni mwa gari zenye mbio..Hata siku moja huwezi kushindana na Wrx ambayo haina tatizo lolote la kiufundi utaachwa mbali mno, usiione tena hiyo gari maishani mwako..
Aisee unaongea
Duuu naona wewe jamaa hujui kitu chochote kuhusu magari sidhani kama umeshawahi kuendesha brevis ukaona Moto wake hii ni zaidi ya mark X na athleteYaani wewe na hiyo takataka unasema una leta ligi barabarani? Hiyo takataka fananisha na wenzie hao brand ya toyota ukija huku kwa Subaru Forester Xt 2009 ndio utajua kuwa toyota ni takataka tu barabarani, usirudie tena kuongelea vigari vyenu hivyo vya mikopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hakuna unachojua kwenye magari hata kidogo sometimes uliza Kwanza kabla ya kukomenti vitu usivyojuaMkuu brevis yako ni slow car tu miongoni mwa gari zenye mbio..Hata siku moja huwezi kushindana na Wrx ambayo haina tatizo lolote la kiufundi utaachwa mbali mno, usiione tena hiyo gari maishani mwako..
Unaijua engine iliyofungwa kwenye Toyota brevis 300i
Gari ina speed 180kmph halafu unatupigia kelele hapa kwa hiyo unataka kusema hiyo 180kmph iliwa barabarani inakuwa 300kmphUnakuta mtu unaendesha zako 50kph huna habari na mtu, taratiiibu kabisa, huku ukiburudika na mziki lainiii..., halafu ghafla anakuja mtu kwa nyuma na kuanza kukuwashia mafull light kwamba yaani unampotezea muda eti umpishee..., na sehehemu inakibao kabisa chan50kph.
Sasa watu kama hao dawa yao huwa naijua, ni kuwazalilisha tu, kiasi kama yuko na wenzake humo hadi aone aibu, ni kumwaibisha tu.
Kinachofanyika ni kumwacha apite kwanza na kiharrier chake cheupe, halafu unamwacha afike mbali kabisa tena akikamua at full throttle ili aone kwamba kakuweza, then akifika kama 50M ahead basi una mkamua mnyama at full throttle, 4 seconds nyingi anabaki kukutafuta umepitia wapi na uko wapi, stupid kabisa, na siku nyingine rudia tena, mnakera!
View attachment 1384663
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sawa bwana, Watu kama nyie ni wakuwapuuza kabisaAisee hakuna unachojua kwenye magari hata kidogo sometimes uliza Kwanza kabla ya kukomenti vitu usivyojua
Baada ya kupuuza toa majibu Kati ya foresta na brevis ni Ipi iko vizuri kwenye performance? Na Mimi nitakuja na facts zangu tuone yupi anafaa kupuuzwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sawa bwana, Watu kama nyie ni wakuwapuuza kabisa
Wewe ulivyo kiazi umeona wapi nimeitaja foresta?? Au umedandia tu.. haya leta fact zako kuhusu hiyo brevis yako then na mimi nilete za Subaru WRX kavu tena siyo STIBaada ya kupuuza toa majibu Kati ya foresta na brevis ni Ipi iko vizuri kwenye performance? Na Mimi nitakuja na facts zangu tuone yupi anafaa kupuuzwa