spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
nunueni madungu
Sheenzi
Sheenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2JZ FS engine ufananishe WRX STI yenye engine 4 inline boxer engine?Wewe ulivyo kiazi umeona wapi nimeitaja foresta?? Au umedandia tu.. haya leta fact zako kuhusu hiyo brevis yako then na mimi nilete za Subaru WRX kavu tena siyo STI
Kwanini uniache @ 160kph while naweza kwenda mpaka 180kph? Niache @ above 180kph sawa, sina ubishi, sio chini ya hapo...
Naona aibu mimi kwa upuuzi ulioandika hapa2JZ FS engine ufananishe WRX STI yenye engine 4 inline boxer engine?
Ndiyo maana nimekuambia huijui hii engine ya Toyota waulize watu waofanya tuning kwenye magari watakuambia kuhusu hii engine
Hiyo ni 6-inline engine yenye 24 valve DOHC dhidi ya hiyo boxer engine yenye valve 16 hapa hauna pa kukimbilia utaachwa mbali Sana..... hata kama utakuja na WRX STI yenye 2.5 litre Mimi nitakuja na Kaka yake brevis ( Toyota aristo 2JZ GTE AI 300 ya mwaka 2003 yenye twin turbocharged)
Kumbuka 2JZ engine ndiyo king [emoji146] wa sedan zote Toyota na hata kwenye ranks za engine Bora za magari ya kijapan hii ndiyo inaongoza
Twende taratibu bwa mdogo hapa tunazungumzia brevis pamoja na wrx wala hatujazungumzia habari za Aristo usitake kubadilisha mada..Umetaja mavitu mengi ambayo hayana maana kabisa ktk perfomance ya gari, Ebu niambie hiyo brevis unayosema wewe ina horse power ngapi??2JZ FS engine ufananishe WRX STI yenye engine 4 inline boxer engine?
Ndiyo maana nimekuambia huijui hii engine ya Toyota waulize watu waofanya tuning kwenye magari watakuambia kuhusu hii engine
Hiyo ni 6-inline engine yenye 24 valve DOHC dhidi ya hiyo boxer engine yenye valve 16 hapa hauna pa kukimbilia utaachwa mbali Sana..... hata kama utakuja na WRX STI yenye 2.5 litre Mimi nitakuja na Kaka yake brevis ( Toyota aristo 2JZ GTE AI 300 ya mwaka 2003 yenye twin turbocharged)
Kumbuka 2JZ engine ndiyo king [emoji146] wa sedan zote Toyota na hata kwenye ranks za engine Bora za magari ya kijapan hii ndiyo inaongoza
Taja hizo sifa za WRX STI dhidi brevis AI 300 ..... sijapata majibu Hadi sasa zaidi ya matusi Tu ebu tupe hizo sifa na wasomaji pia wapate kuona ukweli, matusi hayasaidiiTwende taratibu bwa mdogo hapa tunazungumzia brevis pamoja na wrx wala hatujazungumzia habari za Aristo usitake kubadilisha mada..Umetaja mavitu mengi ambayo hayana maana kabisa ktk perfomance ya gari, Ebu niambie hiyo brevis unayosema wewe ina horse power ngapi??
Kuwa muelewa basi wapi nimetaja STI?? Yaani hata uelewi unachokisemaTaja hizo sifa za WRX STI dhidi brevis AI 300 ..... sijapata majibu Hadi sasa zaidi ya matusi Tu ebu tupe hizo sifa na wasomaji pia wapate kuona ukweli, matusi hayasaidii
Kuwa muelewa basi wapi nimetaja STI?? sasa ntakupaje hizo sifa wakati hujui tunazungumzia nini.. Wewe umesema brevis ina mwendo zaidi ya subaru wrx (sijataja neno STI) acha kujichanganya, wewe mwenyewe umesema tulete sifa ya hizo gari ktk performance mimi nimekwambia tuanze na Horse power kama basic details za perfomance ya gari zote mbili then tutaendelea na vitu vingine.. Umeleta hizo horse power?? Leta tuendeleeTaja hizo sifa za WRX STI dhidi brevis AI 300 ..... sijapata majibu Hadi sasa zaidi ya matusi Tu ebu tupe hizo sifa na wasomaji pia wapate kuona ukweli, matusi hayasaidii
Inategemea ni crown gani maana engine zpo tofauti ukutane na mziki wa 2gr aise,,,hiyo inakalishwa hata na athlete crown, hujakuna na mnyama toareg uone mziki wake
What matters is who is behind the wheel...!
Sent from my Redmi S2 using Tapatalk
issue ni uzoefu wa dereva Brevis hata mark X anakuburuza tu barabaraniInategemea ni crown gani maana engine zpo tofauti ukutane na mziki wa 2gr aise,,,
achana na TOAUREG maana hyo ni SUV ......
compare Sedan vs Sedan
kwenye Toyota sedan naikubali sana BRevis linapokuja kwenye suala la stability na mwendo
Sawa sawaissue ni uzoefu wa dereva Brevis hata mark X anakuburuza tu barabarani
Sisi tumezeeka Sasa sijawai furahia car racing tena Mimi niwe ndani..................Hivyo vi-Forrester huwa navidhalilisha daily, sasa sijui ni takataka ipi unayozungumzia..., hahahaha, ohujakutana na mimi labda..., i get insanely obsessed ukini-offend in any way..., the only way utaniweza ni kama utamaintain above 180kph throughout...
Ila hata mimi hayo mambo sina siku hizi, maana familia imeshakuwa kubwa sana, sasa kabla ya kufanya hayo mambo huwa nawafirikiria kwanza 😂😂Sisi tumezeeka Sasa sijawai furahia car racing tena Mimi niwe ndani..................
Mdogo angu kwetu ndio mtundu Mimi nili mfuata sana mama sio mtu wa vurugu Wala ujivuni.....
Mzee wetu enzi tukiwa secondary school hapa ni zamani sana alitununulia piki piki za kuchezea mm still nilikua sikimbizi ila dogo alijulikana Kila Kona mpaka mama na baba walifuatwa na watu wazima mbali mbali Ili dogo aonywe na kukatazwa kuendesha Kwa mwendo kasi....
Vivyo vivyo kwenye gari ni mtu anae penda racing sana hope nyinyi mme umbwa ivyo endeleeni kufurahia 😅😅😂😂😂☺️☺️😊
Yaah,Ila hata mimi hayo mambo sina siku hizi, maana familia imeshakuwa kubwa sana, sasa kabla ya kufanya hayo mambo huwa nawafirikiria kwanza 😂😂