Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio naju leoHard Black
Hongereni sana sisi hatukusomaHard Black. Tuliosoma Technical Drawing tunajua
Oh kumbe mimi sikuwa najauAina ya shade (ukoozaji wa weusi) ya pencil husika. HB, ni hard black. Kuna ranges tofauti tofauti.
Ina maana zaidi kwa wachoraji.
😂😂😂 kwamba ulikuwa ujuiIli nisionekane nimeiga hapo juu bora niseme Handsome Boy
KumbeeHB ... Hard Black kwa hisani ya google
Umetisha🤣Ili nisionekane nimeiga hapo juu bora niseme Handsome Boy
Acha zako we mmakondeHapana baby.
Acha basiTuliambiwa maana yake HAMNA BIDII, penseli zao hazijaandikwa hivyo.
Na sisi wa Fine Art pia😀Hard Black. Tuliosoma Technical Drawing tunajua
Hot BabeIli nisionekane nimeiga hapo juu bora niseme Handsome Boy