Hivi kuna mtu anasoma upuuzi wa Deodatus Balile

Hivi kuna mtu anasoma upuuzi wa Deodatus Balile

Jamiiforums wangeweka Block ambayo hata mtu akipost huoni posts zake.

MACHAWA WANAKERA SANA.

InaumaSana/ItHasAForkVery
 
Nani amsikilize mpuuzi mmoja tu yule. Kwanza akili yake yote ameihamishia tumboni.
 
Hivi ninyi jukwaa la Wahariri,ilikuwaje mkamchagua Balile kuwa Kiongozi wenu??..INASHANGAZA!
 
Back
Top Bottom