Hivi kuna mtu kutoka Serikalini au CCM ambae keshamjibu Balozi Polepole

Hivi kuna mtu kutoka Serikalini au CCM ambae keshamjibu Balozi Polepole

Unakumbuka kipindi cha kigogo twitter kipindi chake ukijichanganya watu wanampa mafaili yako
 
Inakua NGUMU hata kuhurumiana
Hakika, at times huwa najiuliza hawa viongozi kukumbatia machawa wasiokuwa sio tu uelewa mpana wa mambo bali hata busara ni bahati mbaya au ni mkakati wa aina gani wanaoenda nao.?
 
Kwani kaongea nini Hadi ajibiwe?!!!
Alitaka bifu mserereko wajanja wamemkwepa.......of course atakuwa dealt with muda muafaka ukifika.
Kumteka kumuwekea sumu na kumfuta uanachama 😁😁😁

Maana hayo mnaweza

Ukweli unauma eeeh
 
Wamemtuma mafufu ndo amjibu🤣🤣🤣
😅😅😅😅 hakika wameshikwa pabaya wangekuwa na vifungu halali la uteuzi wa mgombea ungewaona wamejaza sosho media wanatetea ila kila wakiangalia kushoto kulia wanaona walichemka
 
Salaama wanjamvi

Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi

Asanteni
Wajibu nini na kutumwa kuwasilisha hoja zao!
 
Wanaanzia wapi sasa? Nani anataka kukaa upande mbaya wa Polepole ikiwa the Kingmaker Msoga aneogopewa na kila mtu kapewa za uso live.
Naona jana walikuwa wanajificha kila wakisikia Balozi Polepole akitema cheche bila kupepesa macho😃😃😃
 
Jana nimeshangaa Steve Nyerere anahojiwa kuhusiana na matamko ya Polepole!! Nikasema hakika hii nchi hatuko serious.
NIi aibu kumtumia mtu kama steve Nyerere ambae hata kuandika tu hawezi
 
Watu wako bize na kuongoza nchi hawawezi kusumbuliwa kujibu mtu asiejielewa. Amekuwa popo haikulikani ni ndege au Mnyama. Pole pole wa wakati wa Regime ya Magufuli ni tofauti na Pole pole huyu.
Huyu tunamuachia kina Kibajaji tu na Msukuma wataruka nae.
Wananchi wanahitaji maendeleo toka kwa viongozi wao na viongozi makini can never be derailed.
Kama anahoja anaweza kufanya mambo 2..kuandaa hoja kuomba Mkutano Mkuu aeleze hizo porojo zake au aende Mahakamani...otherwise OKTOBA TUNA TIKI
Hauna akili.
 
Nilikuwa nasubiri leo Polepole achambwe na mwenyekiti kwenye mkutano. Maana chair wetu kwa mipasho! Isivyo bahati meeting limepigwa kalenda😅
🤣🤣🤣🤣 halafu sababu wanasema za kiufundi mara majina ya wagombea ni mengi hivi tushike lipi😅😅😅😅

What a failure state

Pini za Balozi jana zimewalaza na viatu kitandani
 
Amos makala alikuwa na mkutano leo na waandishi nilitegemea watu wangemuuliza alicho kisema polepole kama kina ukweli ili ajibu but hola!
Anaogopa🤣🤣🤣 hawaamini kilichotokea kwanza leo nilitegemea watakuja na hoja ya kumfuta uanachama watakuwa wameogopa 🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣 halafu sababu wanasema za kiufundi mara majina ya wagombea ni mengi hivi tushike lipi😅😅😅😅

What a failure state

Pini za Balozi jana zimewalaza na viatu kitandani
Majina mengi? Wakati wanapanga tarehe hawakujua wana majina mengi?!😅😅
 
Watu wako bize na kuongoza nchi hawawezi kusumbuliwa kujibu mtu asiejielewa. Amekuwa popo haikulikani ni ndege au Mnyama. Pole pole wa wakati wa Regime ya Magufuli ni tofauti na Pole pole huyu.
Huyu tunamuachia kina Kibajaji tu na Msukuma wataruka nae.
Wananchi wanahitaji maendeleo toka kwa viongozi wao na viongozi makini can never be derailed.
Kama anahoja anaweza kufanya mambo 2..kuandaa hoja kuomba Mkutano Mkuu aeleze hizo porojo zake au aende Mahakamani...otherwise OKTOBA TUNA TIKI
Kumbe hii nchi inaviongozi?!🤔
 
Back
Top Bottom