- Thread starter
- #61
Mmehaha mpaka vikao mmeahirisha🤣Watu wako bize na kuongoza nchi hawawezi kusumbuliwa kujibu mtu asiejielewa. Amekuwa popo haikulikani ni ndege au Mnyama. Pole pole wa wakati wa Regime ya Magufuli ni tofauti na Pole pole huyu.
Huyu tunamuachia kina Kibajaji tu na Msukuma wataruka nae.
Wananchi wanahitaji maendeleo toka kwa viongozi wao na viongozi makini can never be derailed.
Kama anahoja anaweza kufanya mambo 2..kuandaa hoja kuomba Mkutano Mkuu aeleze hizo porojo zake au aende Mahakamani...otherwise OKTOBA TUNA TIKI
Hamna cha kumjibu mnategemea kina kibajaji ambao hawatojibu kwa hoja bali mipasho