Hivi kuna mtu kutoka Serikalini au CCM ambae keshamjibu Balozi Polepole

kabla sijaijibu swali lako, nimeikumbuka shule ya msingi mahar na kiji cha maharo kuliwahi kuwa na mtu alikuwa diwani alafu mwanae naye akawa Mbunge. mzee wake kila alikuwa akitokea mgombea kuutaka udiwani siku ya kuchukua Fomu anaharisha siku nzima.
 
Hiyo Jesus news radio inapatikana frequency gani💩
 
Salaama wanjamvi

Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi

Asanteni
Kumjibu Pole Pole ni kupoteza muda na resources bila faida
 
Nani wa kumvisha paka kengere ?
Wote wanaelewa kuwa jamaa anajua madhaifu yao na jamaa kashajitoa sadaka kwahy ukimjibu vby unaweza Kuta unahaibika mwenyew
 
Salaama wanjamvi

Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi

Asanteni
Kuna yule mwakilishi wa Ikulu kuwadi mbobevu na mwizi mkomavu wa rambirambi za wasanii yule andunje Steve Mengele amemjibu kwa ustadi wa hali ya juu sana.
 
Wasanii na waimba singeli wanamjibu 😄

Ova
 
Kuna yule mwakilishi wa Ikulu kuwadi mbobevu na mwizi mkomavu wa rambirambi za wasanii yule andunje Steve Mengele amemjibu kwa ustadi wa hali ya juu sana.
Ile meseji walioandikiwa wanaisambaza 🤣🤣🤣🤣🤣

BADO HAWAJASEMA MPAKA WASEME

HAIJAISHA MPAKA IISHE
 
Salaama wanjamvi

Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi

Asanteni
Thubutu!
 
Kwa hiyo kazi ya kibajaji na Msukuma ni kutumiwa kama condomu umewadhalilisha sana kwamba wao ni kasuku? Kibajaji kwenye mkutano mkuu ndo akitaka mama atoke nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…