Mmehaha mpaka vikao mmeahirisha🤣Watu wako bize na kuongoza nchi hawawezi kusumbuliwa kujibu mtu asiejielewa. Amekuwa popo haikulikani ni ndege au Mnyama. Pole pole wa wakati wa Regime ya Magufuli ni tofauti na Pole pole huyu.
Huyu tunamuachia kina Kibajaji tu na Msukuma wataruka nae.
Wananchi wanahitaji maendeleo toka kwa viongozi wao na viongozi makini can never be derailed.
Kama anahoja anaweza kufanya mambo 2..kuandaa hoja kuomba Mkutano Mkuu aeleze hizo porojo zake au aende Mahakamani...otherwise OKTOBA TUNA TIKI
ni online radio s bonyeza hapa kuisikiliza Jesus News RadioHiyo Jesus news radio inapatikana frequency gani💩
Ithibati haijakufikia maana mmejaa ukanjanjani online radio s bonyeza hapa kuisikiliza Jesus News Radio
Hadi wale yuvisisiemu wenye shobo wakati wote wako kimya kabisa wanasoma mchezoSalaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Niko nayo mkuu. makanjanja wameondolewa tayariIthibati haijakufikia maana mmejaa ukanjanja
Serkali haina muda huo, iko busy na uchaguzi okt2025. Ila CHADEMA wameshamjibu. Inatosha.Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Amjibu nini?Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Niliona Bro Pascal Mayala amesema neno juu ya uamuzi aliochokua Balozi.Salaama wanjamvi
Napenda kujuzwa kama Balozi Polepole amejibiwa kivyovyote vile na mtu/kiongozi kutoka Serikalini au chama CCM na kama ndio tupia hapa mambo kwa ushahidi
Asanteni
Mafufu bora hata angenyamaza tu.Sina mda wa kupandisha video ila jimmy mafufu alimjibu
Lakini pia kuna mwana jamii mwenzetu lucas alimjibu
Ila mbinu ya CCM ya kukwepa hoja muhimu kwa kuwatumia "mabumunda" kuijibia kwani hao hawana aibu wako juu!Mafufu bora hata angenyamaza tu.
Alikua anaongelea kitu asichokijua.
Lucas Mwashambwa hata huko sisiem wamemchoka kwa kuandika pumba na simu yake.
Pamoja na kuweka simu hajawahi kupigiwa hata na mcheza ngoma wa ccm.
Mtoto wa shule kasomeAmjibu nini?
Sasa mbona serikali inahaha niko Morogoro hapa polisi wamemwagwa kila kona kumtafuta BaloziSerkali haina muda huo, iko busy na uchaguzi okt2025. Ila CHADEMA wameshamjibu. Inatosha.
Walikwambia wanamtafuta Balozi. Usimpe kichwa hivyooooooo. Ni wa kawaida sanaaaa!Sasa mbona serikali inahaha niko Morogoro hapa polisi wamemwagwa kila kona kumtafuta Balozi