NajuaKusoma
Member
- May 8, 2017
- 81
- 60
- Thread starter
-
- #41
Wajukuu wa wahengaView attachment 509322
Hayo mashati hata ukivaa leo hii unatoka shkopa ile mbaya,lisiwe oversize tu
Mi hua nawaskia hawa jamaa kupitia misemo yao ila sijawahi kuwaona!!!
Na waliisha wote yaan hakuna mbegu yao tena wakat huu wa CAMERASWalikuweko kile kipindi kamera ilikua haijavumbuliwa.