Hivi kuna mtu yeyote ambaye amesoma chuo tofauti na UDOM amewahi kuitwa interview za UDOM?

Hivi kuna mtu yeyote ambaye amesoma chuo tofauti na UDOM amewahi kuitwa interview za UDOM?

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Habari zenu maboss zangu.
Naomba kuuliza jamani.

Hivi kuna mtu yeyote ambaye amesoma chuo tofauti na UDOM amewahi kuitwa interview za UDOM?
 
Mtu kama huyu ukisoma post zake za Jamiiforums unafikiri ni boss kumbe bado anasaka ajira.
Unaweza fikiri ameshakuwa na miradi yake kumbe bado anapambana.
Mtu kuomba michongo haimaanishi kwamba hana kitu anachofanya. Huyu meneja namjua ana kampuni kadhaa ila recently alitaka kuonja radha ya utumishi wa serikali sio kwamba yuko broke.

correct me Meneja Wa Makampuni
 
Mtu kama huyu ukisoma post zake za Jamiiforums unafikiri ni boss kumbe bado anasaka ajira.
Unaweza fikiri ameshakuwa na miradi yake kumbe bado anapambana

Mtu kuomba michongo haimaanishi kwamba hana kitu anachofanya. Huyu meneja namjua ana kampuni kadhaa ila recently alitaka kuonja radha ya utumishi wa serikali sio kwamba yuko broke.

correct me Meneja Wa Makampuni
Mwenyekiti Mstaafu wa UVCCM Kigamboni
 
Ajira za vyuo vikuu hazina usimamizi thabiti wa mtu neutral, upendeleo ni mwingi,. nina jamaa zangu wa kutosha sana ukisikia maongezi yao kuhusu ajira za vyuo ni aibu, application za walio threats kwa walengwa wao, wanachinjwa kwenye shortlist na written makusudi.

Fanyeni ibada za Mungu na miungu wenu wakati wa kutuma maombi, baada ya kutuma maombi, unapoenda interview,. siku ya interview, Funga kabisa hao kwa maombi unachukua kazi
 
Back
Top Bottom