Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Mtu kuomba michongo haimaanishi kwamba hana kitu anachofanya. Huyu meneja namjua ana kampuni kadhaa ila recently alitaka kuonja radha ya utumishi wa serikali sio kwamba yuko broke.Mtu kama huyu ukisoma post zake za Jamiiforums unafikiri ni boss kumbe bado anasaka ajira.
Unaweza fikiri ameshakuwa na miradi yake kumbe bado anapambana.
Naomba changia mada boss.Mtu kama huyu ukisoma post zake za Jamiiforums unafikiri ni boss kumbe bado anasaka ajira.
Unaweza fikiri ameshakuwa na miradi yake kumbe bado anapambana.
Sawa bossNawafahamu na ni wengi sana.
Ukiitwa unesha uwezo.
Mtu kama huyu ukisoma post zake za Jamiiforums unafikiri ni boss kumbe bado anasaka ajira.
Unaweza fikiri ameshakuwa na miradi yake kumbe bado anapambana
Mwenyekiti Mstaafu wa UVCCM KigamboniMtu kuomba michongo haimaanishi kwamba hana kitu anachofanya. Huyu meneja namjua ana kampuni kadhaa ila recently alitaka kuonja radha ya utumishi wa serikali sio kwamba yuko broke.
correct me Meneja Wa Makampuni
Boss umeeleza vyema sana. Tunatafuta mirija ya asali kotekote.Mtu kuomba michongo haimaanishi kwamba hana kitu anachofanya. Huyu meneja namjua ana kampuni kadhaa ila recently alitaka kuonja radha ya utumishi wa serikali sio kwamba yuko broke.
correct me Meneja Wa Makampuni