Hapana tatizo ni moja kwa kila mtu unajaza details ukija ku view details zako hakuna kinachooneka poor kabisa bora wangebaki na mfumo wa zamani tuImebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.
Tunaomba kujua hapa nina group la waombaji hakuna aliyefanikiwa kujaza hizi form.
Shukran.
Afadhari wangetoa taarifa aisee mtu umelipa loan fees halafu mzigo unakwama kwenye demographic infor Kila sikuImebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.
Tunaomba kujua hapa nina group la waombaji hakuna aliyefanikiwa kujaza hizi form.
Shukran.
Ilikuwa preliminary information sasa hivi ni guarantor details hakuna kinachokubali siku ya 4 leoImebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.
Tunaomba kujua hapa nina group la waombaji hakuna aliyefanikiwa kujaza hizi form.
Shukran.
Sote bado tuko hapo hapo kama ukifanikiwa kujuwa nini tatizo usiache kutujuzaImebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.
Tunaomba kujua hapa nina group la waombaji hakuna aliyefanikiwa kujaza hizi form.
Shukran.
Mwez wa kumi mkuuDirisha la maombi linafungwa lini??