Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

Ktk guarantee ila huko ktk pahe 2 na 5 nimweke KB zilizokia origino imekubal
 
Nisaidieni jinsia ya Kupunguza pxl(120*150), bila kuharibu ubora wa picha.
 
Imebidi nije hapa huu mtandao wa Loan Board hauko vizuri hasa hasa kwenye kipengele cha Preliminary information hakuna chochote unachoweza kujaza na uka submit na ukakiona kwenye preview. picha hata useti kwa kiwango kipi 120x150px haionyeshi wala haikai kwenye mfumo.

Tunaomba kujua hapa nina group la waombaji hakuna aliyefanikiwa kujaza hizi form.

Shukran.
Mbona me nmewatumia maombi mdogo wawili nda ya lisaa tu tumekamilisha kila kitu na kesho yake tuka submit page 2 na 5 bila shida yoyote
 
Kipengele cha kusubmit page 2 na 5 kwako kimekua kijani kama zile zingine? Au imebak vile vile tu
 
Hakijabadilika ila imeniletea option ya kudownload complete form ikiwa na hizi signed page. Pia kuna option ya kusubmit nikiclick inaniamba already submitted
 
Owk hpo nimefk nikajua lazim iwe green nayo
 
Hakijabadilika ila imeniletea option ya kudownload complete form ikiwa na hizi signed page. Pia kuna option ya kusubmit nikiclick inaniamba already submitted
Hii option kwangu haisemi already submitted ila naweza kudownload form nzima, itakua nimekamilisha pia?
 
Back
Top Bottom