Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

Kuweni na subra kufikia tar 7 system itakuwa vizuri ukianza kulazimisha sasahivi unaweza jikuta unafeli kupata mkopo maana system itakusajili ila kule details zako zinaweza zisiwe kamili maana umefosi mtandao
Hio tarehe 7 ndo walitangaza itakaa vizuri au
 
Mimi nimekamilisha lakini kila nikisubmit form no2 na 5 cha ajabu wananiambia incomplete wakati kila kipengele nimejaza vizuri
 
Ujazaji wa kijinga tu. Wangeweka excel la csv mtu unadownload unajaza kila kitu then una upload maramoja tu sasa biashara za kujaza unasev huwa sizipendi kabisa
 
Mimi nimefika hapa na inaniandikia ivo na Kila kitu kipo sawa sjui shida ni nini naomba msaada pia
 

Attachments

  • D6CBCEA9-6EAA-4EDD-938D-87813FB433F2.jpeg
    23.2 KB · Views: 11
  • CBA12B9D-1E3D-4522-9698-78A9C5F8C2F8.jpeg
    30.5 KB · Views: 15
Msaada nawezaje kupata ukubwa wa pass port size 120px 150 px kwa kutumia Sim anaeweza please
 
Jamini hapa kwenye kipengele cha guarantor details bado nimekwama kwenye submit form.. naomba msaada
 
Jamani anayeweza kusaidia atusaidie, tupo wengi. Binafisi nimekwamba kwenye guarantor details.... mfumo unaload tu masaa yote!
 
Jamani anayeweza kusaidia atusaidie, tupo wengi. Binafisi nimekwamba kwenye guarantor details.... mfumo unaload tu masaa yote!
Nipe username yako na password nikusaidie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…