Hivi kuna Mtu yeyote amefanikiwa kujaza form ya mikopo Loan Board (HESLB)?

Ktk guarantee ila huko ktk pahe 2 na 5 nimweke KB zilizokia origino imekubal
 
Nisaidieni jinsia ya Kupunguza pxl(120*150), bila kuharibu ubora wa picha.
 
Mbona me nmewatumia maombi mdogo wawili nda ya lisaa tu tumekamilisha kila kitu na kesho yake tuka submit page 2 na 5 bila shida yoyote
 
Kipengele cha kusubmit page 2 na 5 kwako kimekua kijani kama zile zingine? Au imebak vile vile tu
 
Hakijabadilika ila imeniletea option ya kudownload complete form ikiwa na hizi signed page. Pia kuna option ya kusubmit nikiclick inaniamba already submitted
 
Owk hpo nimefk nikajua lazim iwe green nayo
 
Sio sidhani kama inakua green kwasasa hivi labda wakishafanya review na kuona kila kitu kikosawa wanaweza kuipa green wenyewe
 
Hakijabadilika ila imeniletea option ya kudownload complete form ikiwa na hizi signed page. Pia kuna option ya kusubmit nikiclick inaniamba already submitted
Hii option kwangu haisemi already submitted ila naweza kudownload form nzima, itakua nimekamilisha pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…