Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Haki nitafurahi kumpata huyo mwl.wa mapishi maana naaibikaga mwenzio pale ninapoweka sukari na ndimu kwenye wali huku nikiunga nazi kwenye supu [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila jaman kwa bongo hii ni very rare mtoto wa kike kuwa hapiki.

Ulikulia shule zile za FM academia eeh?
 
Hapa JF kila mwanamke ni msomi, anakazi nzuri, kitanadani ni mzuri, anajua kupika, anaishi ushuani, anavaa designer gear, anaendesha gari nzuri.

Hao wasiojua kupika utakutana nao mtaani.
Usisahau wa MIBAGA na MIPIZA ni wa huko usikokuita mtaani... wa ready made food za mahoteli makubwa makubwa.. as a result wanakuwa hawajui kupika...

wAhahahahahaa.......... yaani Wao hadi chai wanaunguza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila jaman kwa bongo hii ni very rare mtoto wa kike kuwa hapiki.

Ulikulia shule zile za FM academia eeh?
We acha tu Ice, mtu unamaliza kidato cha 6 hata nguo ya ndani unafuliwa utajulia wapi kupika?

Mbaya zaidi ninapoishi pana baba nt'ilie mmoja anapika chakula kitamu balaa hivyo anazidi kunilemaza [emoji12] Namsubiri huyo jamaa yako aje anipige darasa
 
Daaah! You need to know that, wakwe gani hapa bongo watakubali mwanao aoe ntu aso pika.
Ngona niitafute namba yule bwana ni mwalim wa mapishi VETA chang'ombe.
Niki ipata ntakupa.
Ujue fasta kupika
 
Daaah! You need to know that, wakwe gani hapa bongo watakubali mwanao aoe ntu aso pika.
Ngona niitafute namba yule bwana ni mwalim wa mapishi VETA chang'ombe.
Niki ipata ntakupa.
Ujue fasta kupika
Hakika u rafiki mwema sio kama Kichwa Kichafu kanitupia swali la kijembe badala ya kunishauri.
 
Hakika u rafiki mwema sio kama Kichwa Kichafu kanitupia swali la kijembe badala ya kunishauri.
Hahaha
Mi mwenyewe nimekushangaa ujue. Nime imagen kwa kwa mfano labda nimekuoa kwa hiyo tutakuwa tunaenda kula kwa baba ntilie au mimi ndio nipike.
Hakuna mwanaume boya wa aina hii haoa bongo. Labda yurope utapata.

Ngoja by kesho ntakuwa nimepata namba zake.
 
Ukipenda boga unapenda na ua lake. Utanivumilia wakati ukinifundisha.[emoji85]

(usihangaike rafiki, tunachangamsha genge tu)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ukipenda boga unapenda na ua lake. Utanivumilia wakati ukinifundisha.[emoji85]

(usihangaike rafiki, tunachangamsha genge tu)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaha
Asee kutopika siyo kitu cha kuvumiliana kabsaa.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
(Haya ila kama ni kweli fanya mipango fasta)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] we mwenyewe ukute chakula pekee unachoweza kupika ni chai. Kwa kisingizio kuwa utakuwa unapikiwa na mkeo [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Mimi hata ningekuwa sjui kupika hata maji tuu. for me haina shida.kwa sbabu kupika si jukumu la baba.
Sasa mke wangu atakauwa ana fanyan nn kama mi najua?

Kazi yangu ni kutafuta hela yeye kazi yake apike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…