Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haki nitafurahi kumpata huyo mwl.wa mapishi maana naaibikaga mwenzio pale ninapoweka sukari na ndimu kwenye wali huku nikiunga nazi kwenye supu [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Ila jaman kwa bongo hii ni very rare mtoto wa kike kuwa hapiki.
Ulikulia shule zile za FM academia eeh?