Ila kwa kibongo bongo, eti fikiria mama mkwe anagundua hujui kupika.Najua na napenda mnooo kupika
Si nimekumbuka mambo ya uzi ule.[emoji23]Kwani ex new bae? [emoji23][emoji23][emoji23]
Ataelewa tu hiyo ndo weakness yanguIla kwa kibongo bongo, eti fikiria mama mkwe anagundua hujui kupika.
Hiyo ndoa haifikishi miez miwili hiyo
Yani nilikua nacheka leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si nimekumbuka mambo ya uzi ule.[emoji23]
Hawez kuelewa asee. Kwa sababu kupika ni kujifunza tuu.Ataelewa tu hiyo ndo weakness yangu
Bwana sio lazima kila mtu ajue kitu fulaniHawez kuelewa asee. Kwa sababu kupika ni kujifunza tuu.
Ukiwa huna mguu ni weaknesa ila kutopika ni uzembe.
Ila nchi za wazungu hzi ishu si muhimu saana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani nilikua nacheka leo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utanivunjia ndoa wewe.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapana ni majukumu ya mama wa nyumba yyte kujua kupika. Kwa hiyo ni lazima ajue.Bwana sio lazima kila mtu ajue kitu fulani
Si tunahire mdada atupikie?Hapana ni majukumu ya mama wa nyumba yyte kujua kupika. Kwa hiyo ni lazima ajue.
Ila kama hajui kusoma labda, hajui kutumia friji hapo sawa. Maana hali ingii kwenye majukumu ya kindoa
Na wewe je!Utanivunjia ndoa wewe.
Basi zikivunjika tuoane tuu. [emoji23][emoji23]Na wewe je!
Si umeona nilivo pata shda.
[emoji23]
Wapo wengi tu.
wanajua kuchemsha chai na maji ya kuoga.
Aaah! Kuna kipindi wadada huwa wana umwa au wanakuwa hawapo lets say kaenda kwao. Au ndio tunatafuta mwingine. Hatuez kula hotelini daily au hatuwez sema mi nipike daily. Nikianza kupika bas bora wewe ukatafute hela niwe tu baba wa nyumbani maana hamna namna.Si tunahire mdada atupikie?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi zikivunjika tuoane tuu. [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kina mwajuma ndala pia wapo humu wanatumia JF ohoooo, JF ya zamani sio kama hii ya leoHapa JF kila mwanamke ni msomi, anakazi nzuri, kitanadani ni mzuri, anajua kupika, anaishi ushuani, anavaa designer gear, anaendesha gari nzuri.
Hao wasiojua kupika utakutana nao mtaani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ww ndiye mwanamke nilie kuwa namtafuta kuoa mungu asante kwa kunijibu
[emoji23] [emoji23] nakuona fundi Wa muda wote jikoniHakuna nyama ya kuku yenye shombo wala samaki mwenye shombo unampika kiasili mtu anakunywa mpaka mchuzi [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23]Hata wakipika spinachi inakuwa ya Uchungu kama qroroquine.