Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Kupika mtihani kwa wanawake wengi tu, mi sometimes huwa nakamata uskani napikaga vitu delicious mpaka mama watoto anatamani niwe nampikia deile!
Hongera kwa kumsaidia mama watoto, siku nikimpata nitamshawishi awe ananisaidia siku moja moja [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Huwa ni malezi, hivi unamtoto wa kike why usimfundishe kupika wazazi wengine wa ajabu sijui huwaza nini
Mm mwanamke mvivu kiukweli kabisa hanivutiii hata awe mzuri kama malaika wa peponi,.na siwezi kuishi nae maana tutagombana tuu....hao wanaolea watt wao hasa mwa kike ki malkia mfyuuu zao malimbukeni tuu...
 
Mm mwanamke mvivu kiukweli kabisa hanivutiii hata awe mzuri kama malaika wa peponi,.na siwezi kuishi nae maana tutagombana tuu....hao wanaolea watt wao hasa mwa kike ki malkia mfyuuu zao malimbukeni tuu...
Ndiyo anakuja kukusalimia yupo likizo mwezi mzima upo naye nyumbani daa utaomba aondoke nyumbani
 
Dada zangu wote hadi mabinamu ni wa deadly jikoni. Yani wakiingia kitchen wakakutolea kitu lazma useme nini hiki ndugu zanguni,,,nakuwa na appetite la ajabu!

Ila sasa bebi nilienae ni alijojo, leo kitamu...kesho kawaida. Anaivisha vizuri ila havishtui ulimi kabisa, unakula ushibe tu! Ndio sometime inabidi nimpe mfano kuwa inabidi kiweje
 
Pole sana, kwao alikotoka sasa naye kichwa kigumu kitu usichojua anapopika mwingine unaiga, watu hadi tulikuwa na vitabu vya mapishi, unasoma unatoa kitu, mpaka gazeti hutoa mapishi nakujifunza nini ni kutotilia manani, nienda kwa shoga ugali ukila mpaka usukumie na maji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtoto wa kike nyumbani kwangu ugeni siku ya kwanza siku ya pili jichanganye,.huwezi rudi kwenu,...nani anataka kupumzikiana kilofa,.akha!!!!
Mdogo wa mr aliwa na demu wake si akaja nyumbani unapika unamtengea mpaka vyombo unatoa mwenye mchumba akamaindi kweli, alikuja kumuacha eti akija kwangu hata vyombo haoshi tunajaza mende tu ndani[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…