Minah24
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,043
- 1,937
Mejikuta nacheka tyuuuuu jomonDawa ya Mwanamke wa hivi ni mimba mfululizo ziopo namna avae vijiti au apige sindano haisaidii kitu
Kwani nikosa kutokujua kupika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mejikuta nacheka tyuuuuu jomonDawa ya Mwanamke wa hivi ni mimba mfululizo ziopo namna avae vijiti au apige sindano haisaidii kitu
Kubwa sanaMejikuta nacheka tyuuuuu jomon
Kwani nikosa kutokujua kupika?
Haya mkuu asante nitakuwa najitahidi sana kupika[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mwandiko wako nasikia radha ya mapishi bora[emoji23]
Duh!Kuna wanawake wana mikono ya kuchambia tuu hapa duniani baasi.
Hahahahaa mumu kweli?[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kuna wanawake wana mikono ya kuchambia tuu hapa duniani baasi.
Habari ndio hiyoo....Duh!
Alaaah,.nakuambia kweli kuna wanawake mikono yao kama kambare inateleeezaa hawajui hata kupika chai...Hahahahaa mumu kweli?[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Huwa ni malezi, hivi unamtoto wa kike why usimfundishe kupika wazazi wengine wa ajabu sijui huwaza niniAlaaah,.nakuambia kweli kuna wanawake mikono yao kama kambare inateleeezaa hawajui hata kupika chai...
Hongera kwa kumsaidia mama watoto, siku nikimpata nitamshawishi awe ananisaidia siku moja moja [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Kupika mtihani kwa wanawake wengi tu, mi sometimes huwa nakamata uskani napikaga vitu delicious mpaka mama watoto anatamani niwe nampikia deile!
Mm mwanamke mvivu kiukweli kabisa hanivutiii hata awe mzuri kama malaika wa peponi,.na siwezi kuishi nae maana tutagombana tuu....hao wanaolea watt wao hasa mwa kike ki malkia mfyuuu zao malimbukeni tuu...Huwa ni malezi, hivi unamtoto wa kike why usimfundishe kupika wazazi wengine wa ajabu sijui huwaza nini
Ndiyo anakuja kukusalimia yupo likizo mwezi mzima upo naye nyumbani daa utaomba aondoke nyumbaniMm mwanamke mvivu kiukweli kabisa hanivutiii hata awe mzuri kama malaika wa peponi,.na siwezi kuishi nae maana tutagombana tuu....hao wanaolea watt wao hasa mwa kike ki malkia mfyuuu zao malimbukeni tuu...
Mtoto wa kike nyumbani kwangu ugeni siku ya kwanza siku ya pili jichanganye,.huwezi rudi kwenu,...nani anataka kupumzikiana kilofa,.akha!!!!Ndiyo anakuja kukusalimia yupo likizo mwezi mzima upo naye nyumbani daa utaomba aondoke nyumbani
Pole sana, kwao alikotoka sasa naye kichwa kigumu kitu usichojua anapopika mwingine unaiga, watu hadi tulikuwa na vitabu vya mapishi, unasoma unatoa kitu, mpaka gazeti hutoa mapishi nakujifunza nini ni kutotilia manani, nienda kwa shoga ugali ukila mpaka usukumie na maji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dada zangu wote hadi mabinamu ni wa deadly jikoni. Yani wakiingia kitchen wakakutolea kitu lazma useme nini hiki ndugu zanguni,,,nakuwa na appetite la ajabu!
Ila sasa bebi nilienae ni alijojo, leo kitamu...kesho kawaida. Anaivisha vizuri ila havishtui ulimi kabisa, unakula ushibe tu! Ndio sometime inabidi nimpe mfano kuwa inabidi kiweje
Mdogo wa mr aliwa na demu wake si akaja nyumbani unapika unamtengea mpaka vyombo unatoa mwenye mchumba akamaindi kweli, alikuja kumuacha eti akija kwangu hata vyombo haoshi tunajaza mende tu ndani[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Mtoto wa kike nyumbani kwangu ugeni siku ya kwanza siku ya pili jichanganye,.huwezi rudi kwenu,...nani anataka kupumzikiana kilofa,.akha!!!!
Uwiii,.wanatia kinyaaa watu wa hivyo jamanii aahMdogo wa mr aliwa na demu wake si akaja nyumbani unapika unamtengea mpaka vyombo unatoa mwenye mchumba akamaindi kweli, alikuja kumuacha eti akija kwangu hata vyombo haoshi tunajaza mende tu ndani[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Nilikuwa nakaangalia tu moyoni huyu kupata ndoa hapa sijuiUwiii,.wanatia kinyaaa watu wa hivyo jamanii aah
Usiogope nitakuja nikutolee kitu weekend moja. Sina hiyana!Hongera kwa kumsaidia mama watoto, siku nikimpata nitamshawishi awe ananisaidia siku moja moja [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]