Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Mm mwanamke mvivu kiukweli kabisa hanivutiii hata awe mzuri kama malaika wa peponi,.na siwezi kuishi nae maana tutagombana tuu....hao wanaolea watt wao hasa mwa kike ki malkia mfyuuu zao malimbukeni tuu...
Ewaaaaaaaaaaaa nyauuuu unaniwakilisha vizur sana [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahahhaaah, hata mtaani kwangu yumo, kaolewa Desemba, 2017. Alikulia na kusomea China, hajui kupika, hata kufua, amemwambia mumewe amnunulie mashine ya kufulia nguo na chakula watakuwa wanakula hotelini.
"Shikamoo Mzee Kumchaya kwa malezi bora"
 
Teh teh.... zitakuja mpaka mashine za kupikia sasa Maana watoto Wa dot com wanajua insta na Facebook tu jikoni wataingia saa ngapi mwe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…