Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,111
- 28,020
Karibu sana uniambie kabisa niandaye nini ili ukifika tu kila kitu kiende safiUsiogope nitakuja nikutolee kitu weekend moja. Sina hiyana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sana uniambie kabisa niandaye nini ili ukifika tu kila kitu kiende safiUsiogope nitakuja nikutolee kitu weekend moja. Sina hiyana!
Oyaaaaaaaaaaaaaaa damuuuUwiii,.wanatia kinyaaa watu wa hivyo jamanii aah
Ajabu ya musa sasa, wengine wanaoleka kabisaa etii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilikuwa nakaangalia tu moyoni huyu kupata ndoa hapa sijui
Umezinguaaaa[emoji57]Oyaaaaaaaaaaaaaaa damuuu
Wanaolewa kabisa kuna jamaa yetu moja mkewe mkienda wageni ke ukifika anakuita jikoni , mmewe anachapa balaa wakamshauri awe anamfundisha maana aligomea kuleta back 3 kosa kwa wazazi hapoAjabu ya musa sasa, wengine wanaoleka kabisaa etii[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole zao,.kupanga ni kuchagua.Wanaolewa kabisa kuna jamaa yetu moja mkewe mkienda wageni ke ukifika anakuita jikoni , mmewe anachapa balaa wakamshauri awe anamfundisha maana aligomea kuleta back 3 kosa kwa wazazi hapo
Shauri zao nakweli kupanga ni kuchaguaPole zao,.kupanga ni kuchagua.
Oyaaaaaaaaaaa siwez kukuzinguaaaaaa weee hata siku moja .Umezinguaaaa[emoji57]
Ahsante Darling, na kwako pia....tulale salama.Usiku mwema mamito mumu
Amina kubwa myAhsante Darling, na kwako pia....tulale salama.
Ewaaaaaaaaaaaa nyauuuu unaniwakilisha vizur sana [emoji23][emoji23][emoji23]Mm mwanamke mvivu kiukweli kabisa hanivutiii hata awe mzuri kama malaika wa peponi,.na siwezi kuishi nae maana tutagombana tuu....hao wanaolea watt wao hasa mwa kike ki malkia mfyuuu zao malimbukeni tuu...
Ha ha usihofu ntakutaarifu mapemaKaribu sana uniambie kabisa niandaye nini ili ukifika tu kila kitu kiende safi
Wachaga wanaoongoza kwa kutojua kupika,wao hata kachumbari inawekwa nazi
[emoji120][emoji120]Ameen ntajuaga tyuu
Nnavyopenda pilau sasa ndo ntakachoanza kujifunza
hahahahhaaah, hata mtaani kwangu yumo, kaolewa Desemba, 2017. Alikulia na kusomea China, hajui kupika, hata kufua, amemwambia mumewe amnunulie mashine ya kufulia nguo na chakula watakuwa wanakula hotelini.
"Shikamoo Mzee Kumchaya kwa malezi bora"
Hahaha vizuri sanaHa ha usihofu ntakutaarifu mapema
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] jamaniWapo Wengi Tu
Wengine Hata Kuchemsha Maji Anaunguza!