Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Anajaza mafuta au anazidisha chumvi?

Kwenye kuzidisha chumvi mm ni namba1 kabisaaa, cwez pika watu wasilalamike
Imefika muda nikachukia kupika kabisaaa yaan cpiki ckuiz labda nijipikie mwenyewe
Kuna mawili, either azidishe chumvi au asiweke kabisa.
Yani anakuja kushtuka mezani eti nilisahau kutia chumvi!

Mafuta kibao, akiivisha ni kwa neema za mwenyezi Mungu. Akipika wali unaweza hisi ni makande. Akipika ugali ni bora mkoroge uji mnywe!

Alafu ndio binti wa pekee, wengine wote vidume!

Inabidi tu tuingie jikoni asee!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…