Minah24
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,043
- 1,937
Shoga ake kumbe we mpishi mzuri eeh!!!Wapo tena wengi,watoto wa kishua waliosoma boarding kuanzia nursery,kwao kuna dada wa kazi hata akirudi likizo mtoto hakanyagi jikoni,hawa mpaka wanakua watu wazima hata kushika mwiko ni mtihani kwao
Ila kupika nako nikipaji atiii wengine hatuna