Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Wapo tena wengi,watoto wa kishua waliosoma boarding kuanzia nursery,kwao kuna dada wa kazi hata akirudi likizo mtoto hakanyagi jikoni,hawa mpaka wanakua watu wazima hata kushika mwiko ni mtihani kwao
Hawajui hata kuosha vyombo
Wananzia wap kuishia wap
 
Hahahaaaa uyu kibokoo!!!
Ila kama anapenda kupika akijifunza taratibu atajua tyuu
 
Ushua mwingi sasa hapa kuna mdada ananiuliza unajua pika pilau? Nikamwambia sijui sana japo ni mtaalam.
Yeye yupo chuo na lifestyle la Saut sema anatoka nyumbani kwenda chuo,Mimi nilikuja sikia tu Aunt yake anamwambia wewe msaidizi wa kazi mbona ukumsaidia huyo kupika pilau? T'was too late.
 
Nakuombea upate moyo wa kujifunza kupika usichukie hivyo mwanamke anatakiwa ajue kupika hata kama sio sana lakini kidogo ajue
Hilo neno hata umeenda mtembelea bf ukampikia anafurahi, sie wengine unaanza kufundishwa mapema kijiugali chako hata kama nyumban kuna dada lazima ujue kupika
 
Wasio jua kupka wapo wengi
Tu hasa wa kishua

Wengine wanapika lkn
Chakula Chao wanapika n kama
Wanapitiwa na marathon
 
Hilo neno hata umeenda mtembelea bf ukampikia anafurahi, sie wengine unaanza kufundishwa mapema kijiugali chako hata kama nyumban kuna dada lazima ujue kupika
Nakumbuka nilifundishwa kupika ugali nipo darasa la pili siku hiyo nimerudi shule sijawekewa chakula nikaambiwa eti nijipikie nitaelekezwa nililia nikawasha jiko la mchina nikabandika sufuria naanza kuelekezwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…