Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Kiasi chake tuHahaha mamii umekomaa...wew utakua unajua sana kupika[emoji39] [emoji39]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiasi chake tuHahaha mamii umekomaa...wew utakua unajua sana kupika[emoji39] [emoji39]
Na sisi wengine ambao hatuna hizo sifa mnatuweka wapi etiHii ndo Jf hakuna mwenye kasoro
Wote n perfect
Hawajui hata kuosha vyomboWapo tena wengi,watoto wa kishua waliosoma boarding kuanzia nursery,kwao kuna dada wa kazi hata akirudi likizo mtoto hakanyagi jikoni,hawa mpaka wanakua watu wazima hata kushika mwiko ni mtihani kwao
Hahahaaaa uyu kibokoo!!!Kuna mawili, either azidishe chumvi au asiweke kabisa.
Yani anakuja kushtuka mezani eti nilisahau kutia chumvi!
Mafuta kibao, akiivisha ni kwa neema za mwenyezi Mungu. Akipika wali unaweza hisi ni makande. Akipika ugali ni bora mkoroge uji mnywe!
Alafu ndio binti wa pekee, wengine wote vidume!
Inabidi tu tuingie jikoni asee!
Kwenye msafara wa mamba hata ______!!!!Na sisi wengine ambao hatuna hizo sifa mnatuweka wapi eti
Pole shost mpaka uolewe ukienda kwa shemela mnaongozana kwenda kula mtaani duu!Nimeshachukia kupika hata kujifunza tena cwez labda baadae huko nikiolewa sasa ndo nikashinde YouTube nijifunze
[emoji120][emoji120]Ameen ntajuaga tyuuNakuombea upate moyo wa kujifunza kupika usichukie hivyo mwanamke anatakiwa ajue kupika hata kama sio sana lakini kidogo ajue
Hilo neno hata umeenda mtembelea bf ukampikia anafurahi, sie wengine unaanza kufundishwa mapema kijiugali chako hata kama nyumban kuna dada lazima ujue kupikaNakuombea upate moyo wa kujifunza kupika usichukie hivyo mwanamke anatakiwa ajue kupika hata kama sio sana lakini kidogo ajue
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukijifunza ukilipika usisahau kunitumia picha[emoji120][emoji120]Ameen ntajuaga tyuu
Nnavyopenda pilau sasa ndo ntakachoanza kujifunza
Haaa haaa maji yakuoga au maana ya kunywa mpaka yachemkecarbamazepine unajua kupika maji tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Anajitahidi kujifunza lakini bado hali ni tete. She's trying really hard!Hahahaaaa uyu kibokoo!!!
Ila kama anapenda kupika akijifunza taratibu atajua tyuu
Nakumbuka nilifundishwa kupika ugali nipo darasa la pili siku hiyo nimerudi shule sijawekewa chakula nikaambiwa eti nijipikie nitaelekezwa nililia nikawasha jiko la mchina nikabandika sufuria naanza kuelekezwa sasaHilo neno hata umeenda mtembelea bf ukampikia anafurahi, sie wengine unaanza kufundishwa mapema kijiugali chako hata kama nyumban kuna dada lazima ujue kupika
Hatuendi kula mtaan anapikaga mwenyewe uzuri nilimwambia mapema cjui kupika ,akakubalPole shost mpaka uolewe ukienda kwa shemela mnaongozana kwenda kula mtaani duu!
Lazima wawepo kenge mijusi n.k[emoji33] [emoji33] [emoji33]Kwenye msafara wa mamba hata ______!!!!
Wamo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaa!!Hawajui weng tu. Hasa waliozaliwa kuanzia 1992
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntakutumia.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] ukijifunza ukilipika usisahau kunitumia picha