Anza mapema ukiwa na nia wala huchelewi kujua na huwezi jua vyote kwa pamoja mdogo mdogo[emoji120][emoji120]Ameen ntajuaga tyuu
Nnavyopenda pilau sasa ndo ntakachoanza kujifunza
Bora umensaidia kumaliziaLazima wawepo kenge mijusi n.k[emoji33] [emoji33] [emoji33]
Naanza na pilau maana Tanzania hii wageni wanapikiwaga pilauAnza mapema ukiwa na nia wala huchelewi kujua na huwezi jua vyote kwa pamoja mdogo mdogo
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3] usinikumbushe mie darasa la 3 chakula kimeisha halafu mie ndiye niliye kosa kaka yangu alikuwa tayari, mama huyo njoo lete kisufuria hapo machozi kusonga sasa sufuria linatembea nilitaka hata kususa kula, siku ya 2 nikawepo, yatatu fundi mpaka sasa namkumbuka bimkubwa wanguNakumbuka nilifundishwa kupika ugali nipo darasa la pili siku hiyo nimerudi shule sijawekewa chakula nikaambiwa eti nijipikie nitaelekezwa nililia nikawasha jiko la mchina nikabandika sufuria naanza kuelekezwa sasa
Ntakua mgen wa kwanzaNaanza na pilau maana Tanzania hii wageni wanapikiwaga pilau
Jumapl mapema ntalipka
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tuliona tunapata tabu lakini ndio wametufundisha[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji3] [emoji3] usinikumbushe mie darasa la 3 chakula kimeisha halafu mie ndiye niliye kosa kaka yangu alikuwa tayari, mama huyo njoo lete kisufuria hapo machozi kusonga sasa sufuria linatembea nilitaka hata kususa kula, siku ya 2 nikawepo, yatatu fundi mpaka sasa namkumbuka bimkubwa wangu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] hongera ,wengine tuliokutana nao duu kupika mtihani wa hesabu, nilianza kumfundisha aanche kununua kuna mtu alikuwa anampikia anaenda kula hapo, akajua, lakini wali ndiyo ilikuwa mtihani, ugali kama jiwe [emoji28] [emoji28] [emoji28]Hatuendi kula mtaan anapikaga mwenyewe uzuri nilimwambia mapema cjui kupika ,akakubal
Namsaidiaga kuosha vyombo tyuu
Karibu sanaaaNtakua mgen wa kwanza
Kwako maana pilau na Pete na kidole
Na pilau lenyewe sio kazi kivile ni mpangilio wa viungo na jinsi ya kuviandaa, jifunze kupika raha sana, shemela akiwa anapika unamsaidia hata kukoroga [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naanza na pilau maana Tanzania hii wageni wanapikiwaga pilau
Jumapl mapema ntalipka
Nitakufundisha etiTupo..
Sana halafu nyumbani dada zangu walikuwepo lakini kila mtu lazima ajue kupika, kama kuna mtoto mchaga uji lazima uwe unamkorogea unafurahi ili udoee kidogo[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] tuliona tunapata tabu lakini ndio wametufundisha
Hahaha [emoji28] [emoji28] [emoji28] kweli cha kulishushiaKaribu sanaaa
Ucsahau kuja na vinywaji ili ukikuta cyo litamu upate cha kulishushia
[emoji23][emoji23][emoji23]bhaccc ncvyopenda kupika nikimsikia mwanaume anasema anajua kupika najikuta nampenda buree[emoji120] [emoji120] [emoji120] hongera ,wengine tuliokutana nao duu kupika mtihani wa hesabu, nilianza kumfundisha aanche kununua kuna mtu alikuwa anampikia anaenda kula hapo, akajua, lakini wali ndiyo ilikuwa mtihani, ugali kama jiwe [emoji28] [emoji28] [emoji28]
92 mpaka ngapi mkuu?Hawajui weng tu. Hasa waliozaliwa kuanzia 1992
[emoji3] [emoji3] [emoji3] halafu wengi wao hupata wanawake wasiojua kabisa kupika na akiwa nyumbani wala hapiki sijui huwa ni kwanini[emoji23][emoji23][emoji23]bhaccc ncvyopenda kupika nikimsikia mwanaume anasema anajua kupika najikuta nampenda buree
Marafiki zangu wa kiume wengi wanajua kupika na mmoja anafanyakazi hotelini,uyu nataman ndo angekuwa bf anapika hatarii
Wewe mlaji ndiye utatofautisha radha [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi nini kinachotofautisha test? Ukiwapa wanawake wawili vitu vyote sawa na ukawaambia wavipike kila mtu atatoa test yake,i dont know why wakati content ni moja.
Atakaye muoa namuonea huruma naona ambavyo beki tatu watakuwa wanatafutwa kwa nguvu zoteKuna mawili, either azidishe chumvi au asiweke kabisa.
Yani anakuja kushtuka mezani eti nilisahau kutia chumvi!
Mafuta kibao, akiivisha ni kwa neema za mwenyezi Mungu. Akipika wali unaweza hisi ni makande. Akipika ugali ni bora mkoroge uji mnywe!
Alafu ndio binti wa pekee, wengine wote vidume!
Inabidi tu tuingie jikoni asee!