Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
hahaha usiseme hivyooKaka napikaga maudambu udambu tu[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha usiseme hivyooKaka napikaga maudambu udambu tu[emoji23]
Subir kina miss chagga wajee...ii sijui ni kweli!![emoji15] [emoji15] View attachment 723602
Na wapo comfortable kabisaWapo wengi tu...msosi wao mkubwa ni viepe
Una mpango gani juu ya hilo[emoji23]Mm mwenyewe cjui kupika,nikiona vitunguu tu nackia kulia
hahahSubir kina miss chagga wajee...
Jf wapo waliokuja kila kitu hivi member Wa jf nao wanatokea mtaani? Au wamejificha kwenye sayari yao?Hapa JF kila mwanamke ni msomi, anakazi nzuri, kitanadani ni mzuri, anajua kupika, anaishi ushuani, anavaa designer gear, anaendesha gari nzuri.
Hao wasiojua kupika utakutana nao mtaani.
Hahahaha huyo itakuwa anaweka na dawa za kuendesha Si bureNina dadaangu huyo, akikupikia ukala lazima ushindie toilet!
Huyo mwanamke anajivunia nini akiwa ndani ya nyumba Kama jikoni anaogopa?Wapo tena wengi,watoto wa kishua waliosoma boarding kuanzia nursery,kwao kuna dada wa kazi hata akirudi likizo mtoto hakanyagi jikoni,hawa mpaka wanakua watu wazima hata kushika mwiko ni mtihani kwao
Hapa bata mtoto Wa miaka miwili anawezaWapo wengi tu.
wanajua kuchemsha chai na maji ya kuoga.
Hiyo kachumbari lazima ukae toilet unakimbiza mwengeWachaga wanaoongoza kwa kutojua kupika,wao hata kachumbari inawekwa nazi
Kukaa ushuani kuna mfanya aogope jiko huyo mwanamke Wa ajabuHao wasiojua kupika labda wanawake wa ushuani
[emoji23]carbamazepine unajua kupika maji tuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uki log on tu unaingia kwenye JF wonder land mkuuJf wapo waliokuja kila kitu hivi member Wa jf nao wanatokea mtaani? Au wamejificha kwenye sayari yao?
Khaah hadi sasa hujui kupika pilau chakula ambacho nikuwa napenda kupika kila mda mama akiniachia jiko nilianza kupika nikiwa na miaka 10[emoji120][emoji120]Ameen ntajuaga tyuu
Nnavyopenda pilau sasa ndo ntakachoanza kujifunza
[emoji57][emoji57][emoji57]niache kidogo ebuuu!!!!!!Khaah hadi sasa hujui kupika pilau chakula ambacho nikuwa napenda kupika kila mda mama akiniachia jiko nilianza kupika nikiwa na miaka 10
Chai nahisi nilianza kabla Ila hapo ndio nilianza kupika wali. Kwani we umeanza kujifunza lini?[emoji57][emoji57][emoji57]niache kidogo ebuuu!!!!!!
Huo umri ndo kwanza ulikua unaanza kujifunza kupika chai[emoji13][emoji13][emoji23]
Nikiwa darasa la kwanza nilianza kujifunza kuchemsha maji ya kuoga[emoji23][emoji23][emoji23]Chai nahisi nilianza kabla Ila hapo ndio nilianza kupika wali. Kwani we umeanza kujifunza lini?
Maji ya uoga hata mtoto aliyezaliwa Leo anajua[emoji23]Nikiwa darasa la kwanza nilianza kujifunza kuchemsha maji ya kuoga[emoji23][emoji23][emoji23]