Hivi Kuna Mwanamke Ambaye Hajui Kupika?

Hapa JF kila mwanamke ni msomi, anakazi nzuri, kitanadani ni mzuri, anajua kupika, anaishi ushuani, anavaa designer gear, anaendesha gari nzuri.

Hao wasiojua kupika utakutana nao mtaani.
Jf wapo waliokuja kila kitu hivi member Wa jf nao wanatokea mtaani? Au wamejificha kwenye sayari yao?
 
Wapo tena wengi,watoto wa kishua waliosoma boarding kuanzia nursery,kwao kuna dada wa kazi hata akirudi likizo mtoto hakanyagi jikoni,hawa mpaka wanakua watu wazima hata kushika mwiko ni mtihani kwao
Huyo mwanamke anajivunia nini akiwa ndani ya nyumba Kama jikoni anaogopa?
 
[emoji120][emoji120]Ameen ntajuaga tyuu
Nnavyopenda pilau sasa ndo ntakachoanza kujifunza
Khaah hadi sasa hujui kupika pilau chakula ambacho nikuwa napenda kupika kila mda mama akiniachia jiko nilianza kupika nikiwa na miaka 10
 
Khaah hadi sasa hujui kupika pilau chakula ambacho nikuwa napenda kupika kila mda mama akiniachia jiko nilianza kupika nikiwa na miaka 10
[emoji57][emoji57][emoji57]niache kidogo ebuuu!!!!!!
Huo umri ndo kwanza ulikua unaanza kujifunza kupika chai[emoji13][emoji13][emoji23]
 
[emoji57][emoji57][emoji57]niache kidogo ebuuu!!!!!!
Huo umri ndo kwanza ulikua unaanza kujifunza kupika chai[emoji13][emoji13][emoji23]
Chai nahisi nilianza kabla Ila hapo ndio nilianza kupika wali. Kwani we umeanza kujifunza lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…