Jasmoni Tegga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2020
- 12,624
- 24,751
Hata ashauriwe vipi hawezi katu kuelewa chochote maana akili zake ameziacha maili elfu huko London & Washington na wala hata hajakaa kutamani tena kuziendea maana kakolewa na kunogewa mihela yao.Yule Bob wine huwa namwona Kama chizi ,anaitesa familia na ndugu zake tu.
Hivi Hana mshauri? Mtu Kama huyo hapaswi kuwa na familia.
Hata ashauriwe vipi hawezi katu kuelewa chochote maana akili zake ameziacha maili elfu huko London & Washington na wala hata hajakaa kutakani tena kuziendea maana kakolewa na mihela yao.
Tena madikteta uchwara.Tanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
Naona hata Iddy Amini walimwonea sana kumtoa madarakani - waliomfuata ni hatari sana
Watu na viatuBaada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea...
Unazungumzia ule ulaghai wa kuwachukua wazee wetu kama watumwa wao, si ndiyo eeh??? Na kutupatia vioo (vioneleo) halafu wanasomba midhahabu, madini na ndugu zetu??? Jifunze kutafakari sana unapozungumza.EU wanauliza kama mlimaliza Covid 19 kwa maombi zile Euro million 27 pesa za walipa kodi wa ulaya mmezipeleka wapi?
Hakuna tabia mabeberu wanaichukia kama ulaghai.
Kovidi-19 ilimalizika, ndiyo. Ilimalizwa na hizo Euro 27, na zingine zetu tumeongezeaEU wanauliza kama mlimaliza Covid 19 kwa maombi zile Euro million 27 pesa za walipa kodi wa ulaya mmezipeleka wapi?
Hakuna tabia mabeberu wanaichukia kama ulaghai.
hata mahakama za Uganda si kama za Tanzania zinazoagizwa na Polepole kumkomoa Nusrat hanje , pamoja na unyama wote wa Museven bado mahakama ya Uganda haimuabudu kama ifanyavyo mahakama duni ya Tanzania
Inawezekana ukawa sahihi.Tanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
Lisu nizaidi ya kyagulani kwa sababu alishindiliwa risasi 32 na Mungu akagoma asifeTanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
Mzee anapitia mule mule
Kama hakuna wapinzani kwa nini CCM itumie garama na nguvu kubwa sana za dola kuchafua mchakato wa uchaguzi? Au unatamka uliyokaririshwa?Tanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
Pamoja na Uganda kuwa nchi ya chama kimoja majudge wao ni watu huru kuliko maelezo Angalia bunge lao lilivyo .Rebeka kadagha anampeleka Museven mpaka unashangaa kama ni member wa NRM huku kwetu wangebadili jinsia nadhani sisi tunaujinga mwingi wa kichama kuliko uhalisia wetu wa maendeleo..Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea
"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential candidate Robert Kyagulanyi has said in the Iganga Chief Magistrate's court.
NTV Uganda
Kuna Wanasisa wa nchi zingine hasa Jirani Wao wakikamatwa tu na kwenda Mahakamani wanaishia Kulia, Kujamba na Kuwaza Wataishije Jela.
Hatari sana jamaa ni mtu jasiri sana.....Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea
"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential candidate Robert Kyagulanyi has said in the Iganga Chief Magistrate's court.
NTV Uganda
Kuna Wanasisa wa nchi zingine hasa Jirani Wao wakikamatwa tu na kwenda Mahakamani wanaishia Kulia, Kujamba na Kuwaza Wataishije Jela.
Watu wazuri kama wakina mahiga wanachukuliwa mapema kuliko watu kama akina m7..
Issue ni ubora wa mahakama juu ya maamuzi ya mashauri! Wewe ukikompare unafikili wapi mahakama ni bora kuliko?? Hata wewe leo ukijua ubora wa mahakama hutaogopa mana unajua utatendewa haki..!!
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Mwishowe, wakaona kumshinda, ni KUMTANDIKA SHABA!Nasikia kuna jopo la wanasheria nguli walikuwa wanapambana na Tundu A. Lissu kwa kesi ya uchochezi wakawa kila wakileta hoja zinagonga mwamba wakaishia kusingizia jamaa anatumia kizizi !