Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

Yule Bob wine huwa namwona Kama chizi ,anaitesa familia na ndugu zake tu.

Hivi Hana mshauri? Mtu Kama huyo hapaswi kuwa na familia.
Hata ashauriwe vipi hawezi katu kuelewa chochote maana akili zake ameziacha maili elfu huko London & Washington na wala hata hajakaa kutamani tena kuziendea maana kakolewa na kunogewa mihela yao.
 
Ya kawaida sana, actually yamesemwa na wa Africa magumu zaid ya hao, increase your horizon
 
EU wanauliza kama mlimaliza Covid 19 kwa maombi zile Euro million 27 pesa za walipa kodi wa ulaya mmezipeleka wapi?

Hakuna tabia mabeberu wanaichukia kama ulaghai.
Unazungumzia ule ulaghai wa kuwachukua wazee wetu kama watumwa wao, si ndiyo eeh??? Na kutupatia vioo (vioneleo) halafu wanasomba midhahabu, madini na ndugu zetu??? Jifunze kutafakari sana unapozungumza.
 
EU wanauliza kama mlimaliza Covid 19 kwa maombi zile Euro million 27 pesa za walipa kodi wa ulaya mmezipeleka wapi?

Hakuna tabia mabeberu wanaichukia kama ulaghai.
Kovidi-19 ilimalizika, ndiyo. Ilimalizwa na hizo Euro 27, na zingine zetu tumeongezea
 
hata mahakama za Uganda si kama za Tanzania zinazoagizwa na Polepole kumkomoa Nusrat hanje , pamoja na unyama wote wa Museven bado mahakama ya Uganda haimuabudu kama ifanyavyo mahakama duni ya Tanzania

Jiepushe kuisema vibaya mahakama yetu wakati mabosi wako kila wakati wanakimbilia huko kutafuta 'haki'. Ulivyosema hapa ni kama vile mahakama ya Tanzania haijawahi kuwapa wapinzani ushindi katika kesi yoyote. Sio fair. Ni sawa tu na vile Tundu Lissu anashutumu serikali kumjeruhi, halafu 'anaitaka' serikali hiyo hiyo (anayoituhumu wazi wazi) ifanye uchunguzi wa kesi hiyo hiyo.
 
Tanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
Inawezekana ukawa sahihi.
Chini ya Field Marshall Iddi Amin Dada, Upinzani maana yake nini?
Mbunge anapigwa risasi mchana, mbele ya kamera za ulinzi, na mtuhumiwa haguswi?
Yalitokea wakati wa State Bureau Research ya Iddi Amin.
 
He is brave. Some sort of brave politicians are also here in Tz but lack popular support. The people of Uganda and Kenya are brave. They tolerate no nonsense.
 
Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea

"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential candidate Robert Kyagulanyi has said in the Iganga Chief Magistrate's court.

NTV Uganda

Kuna Wanasisa wa nchi zingine hasa Jirani Wao wakikamatwa tu na kwenda Mahakamani wanaishia Kulia, Kujamba na Kuwaza Wataishije Jela.
Pamoja na Uganda kuwa nchi ya chama kimoja majudge wao ni watu huru kuliko maelezo Angalia bunge lao lilivyo .Rebeka kadagha anampeleka Museven mpaka unashangaa kama ni member wa NRM huku kwetu wangebadili jinsia nadhani sisi tunaujinga mwingi wa kichama kuliko uhalisia wetu wa maendeleo..
 
Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea

"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential candidate Robert Kyagulanyi has said in the Iganga Chief Magistrate's court.

NTV Uganda

Kuna Wanasisa wa nchi zingine hasa Jirani Wao wakikamatwa tu na kwenda Mahakamani wanaishia Kulia, Kujamba na Kuwaza Wataishije Jela.
Hatari sana jamaa ni mtu jasiri sana.....
hv sijui kina Joseph Kony waliishia wp
inchi kama Ile inahitaji sana watu kama wale kwa sasa, manake Mzee amejisahau balaa!
 
Ubora wa mahakama za nchi za Africa nyingi zinafanana tu wala usijidanganye kwamba mahakama ya Uganda eti inatenda haki kuliko ya Tanzania.
Hapo ishu kubwa ni ujasiri wa mtu tu haijalishi mahakama ikoje.
Hiyo hiyo mahakama ya Tanzania unayoisema haitendi haki bado kuna watu kama akina Shehe Ponda hawaogopi wanakamatwa wanakaa rumande na akitoka analiamsha tena.
Issue ni ubora wa mahakama juu ya maamuzi ya mashauri! Wewe ukikompare unafikili wapi mahakama ni bora kuliko?? Hata wewe leo ukijua ubora wa mahakama hutaogopa mana unajua utatendewa haki..!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom