GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #61
Kwangu Mimi Robert Kyagulanyi alias Boby Wine ni Shujaa na Ngangari zaidi ya Tundu Lissu. Huyu Kijana atampa mno Tabu Mzee Yoweri Uganda.Hatari sana jamaa ni mtu jasiri sana.....
hv sijui kina Joseph Kony waliishia wp
inchi kama Ile inahitaji sana watu kama wale kwa sasa, manake Mzee amejisahau balaa!
Naona hata Iddy Amini walimwonea sana kumtoa madarakani - waliomfuata ni hatari sana
Msamehe bure huyo! Labda kwa vile hukijui ndiyo 7bu ya hasira hizi zote za kumtupa jongoo na mti wakeHuwa nachukia na sipendi kweli Mtu ambaye najua au namjua kabisa ni Mtanzania ( Mswahili ) Mwenzangu halafu anapenda Kuandika Kiingereza.
Tundu Lissu ni kiboko cha wote EAC block yote hakunaga!Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea
"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential candidate Robert Kyagulanyi has said in the Iganga Chief Magistrate's court.
NTV Uganda
Kuna Wanasisa wa nchi zingine hasa Jirani Wao pia wakikamatwa tu na kwenda Mahakamani wanaishia Kulia, Kujamba na Kuwaza Wataishije Jela.
Nimeanza kuwa Wordsmith tokea nikiwa Tumboni sijazaliwa hivyo sioni haja ya Kujitutumua hapa Kwenu ili mnione nakijua mno. Acheni Ushamba!Msamehe bure huyo! Labda kwa vile hukijui ndiyo 7bu ya hasira hizi zote za kumtupa jongoo na mti wake
Mtu Kiboko anaweza akawakimbia Watu wake na kwenda kula zake Bata na Kuku huko Ubeleshini kwa Mabeberu wake waliokuwa wakimtumia TZ?Tundu Lissu ni kiboko cha wote EAC block yote hakunaga!
Huyo shujaa wako wa Uganda alishawahi miminiwa risasi 16 mwilini akasavaivu?Mtu Kiboko anaweza akawakimbia Watu wake na kwenda kula zake Bata na Kuku huko Ubeleshini kwa Mabeberu wake waliokuwa wakimtumia TZ?
cc: Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Maalim Seif, Sheikh PondaBaada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea
"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential candidate Robert Kyagulanyi has said in the Iganga Chief Magistrate's court.
NTV Uganda
Kuna Wanasisa wa nchi zingine hasa Jirani Wao pia wakikamatwa tu na kwenda Mahakamani wanaishia Kulia, Kujamba na Kuwaza Wataishije Jela.
Ndipo naposhangaa mimi, anawaambia wananchi wasiojitambua waandamane kwa ajili yake kisha yeye anakimbilia Ulaya kupakatwa huku akiwacheka wananchi wake.Mtu Kiboko anaweza akawakimbia Watu wake na kwenda kula zake Bata na Kuku huko Ubeleshini kwa Mabeberu wake waliokuwa wakimtumia TZ?
Hivi ,ahiga alichukuliwa au alipelekwa nauliza tu maana kuna uzi huko twitaWatu wazuri kama wakina mahiga wanachukuliwa mapema kuliko watu kama akina m7..
Ushamba ni kudai unajua unaelekea Sauzi, wakati kwa kila hali ni dhahiri unakaribia Saudi Arabia.Nimeanza kuwa Wordsmith tokea nikiwa Tumboni sijazaliwa hivyo sioni haja ya Kujitutumua hapa Kwenu ili mnione nakijua mno. Acheni Ushamba!
EU wanauliza kama mlimaliza Covid 19 kwa maombi zile Euro million 27 pesa za walipa kodi wa ulaya mmezipeleka wapi?
Hakuna tabia mabeberu wanaichukia kama ulaghai.
Kuna Watu ni Wapumbavu hapa hadi najiuliza ni kwanini CORONA haikuondoka tu nanyi ili mtupunguzie hizi Kero. Hivi aliyekudanganya kuwa Mwanasiasa kupigwa Risasi ndiyo Kipimo tosha cha Ushajaa wake? Hivi Nelson Mandela au Mwalimu Nyerere ambao 24/7 dunia inawalilia Sifa zao wanazopewa na Harakati tena za Kumzidi Tundu Lissu wako zilizotokana na Wao Kutopigwa Risasi kama Tundu Lissu? Nimekudharau sana.Huyo shujaa wako wa Uganda alishawahi miminiwa risasi 16 mwilini akasavaivu?
Tundu Lissu dunia nzima inamshangaa na kumheshimu kama ni "walking miracle".
Tundu Lissu hamwogopi hata amiri jeshi wenu mkuu, ndiyo maana alikuwepo wakati wote wa kampeni (kama huyo shujaa wako wa Uganda) na alikuwa akimpa za uso amiri jeshi wenu hadi alitembelea magoti kuomba kura dadeki!
Hakuna MPINZANI Tanzania aliyemsema Dikteta wenu akapigwa risasi hadharani?Tanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
Same applies to the one who gave birth to you Uncircumcised Baboon.πππ
Comment bora.hata mahakama za Uganda si kama za Tanzania zinazoagizwa na Polepole kumkomoa Nusrat hanje , pamoja na unyama wote wa Museven bado mahakama ya Uganda haimuabudu kama ifanyavyo mahakama duni ya Tanzania
Sawa wewe uliye mwelevu sana.Kuna Watu ni Wapumbavu hapa hadi najiuliza ni kwanini CORONA haikuondoka tu nanyi ili mtupunguzie hizi Kero. Hivi aliyekudanganya kuwa Mwanasiasa kupigwa Risasi ndiyo Kipimo tosha cha Ushajaa wake? Hivi Nelson Mandela au Mwalimu Nyerere ambao 24/7 dunia inawalilia Sifa zao wanazopewa na Harakati tena za Kumzidi Tundu Lissu wako zilizotokana na Wao Kutopigwa Risasi kama Tundu Lissu? Nimekudharau sana.
Kupigwa Risasi Kwako Wewe ndiyo justification ya Ushujaa wa Mwanasiasa katika nchi fulani? Tafadhali choma Moto Vyeti vyako vya Chuo Kikuu.Sawa wewe uliye mwelevu sana.
Lakini logic inatufundisha kuwa matusi ni indicator tosha ya kuumizwa na fact iliyosemwa, halafu aliyeumizwa akakosa hoja ya kui negate.
Ni candidate wa Mirembe tu ndiye atakateshindwa kung'amua kuwa aliyoyapitia Tundu Lissu hakuna mwanasiasa yeyote (si EAC tu bali almost Africa nzima) aliyewahi kuyapitia!
Akina mrema,LIPUMBA,cheyo hao NI wasaka tonge....wanasiasa MAKINI NA WAPINZANI WAKWELI WAPO...NA UNAWAJUA,NA KUWAHESHIMU....ILA TU UNAJIFANYA HUWAONI....,UNAFIKIRI YULE MLOMPIGA NA RISASI ZA KUULIA TEMBO,NYATI,NA DINOSAUR...NA BADO MKAMUIBIA KURA ZAKE,NA BADO MKATAKA KUMMALIZA TENA...,YEYE SIYO MPINZANI?ANGEKUWA MSAKA TONGE JUHUDI ANGEUNGA ZAMANI.,KWA PESA ZENU CHAFUTanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!