Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

Hatari sana jamaa ni mtu jasiri sana.....
hv sijui kina Joseph Kony waliishia wp
inchi kama Ile inahitaji sana watu kama wale kwa sasa, manake Mzee amejisahau balaa!
Kwangu Mimi Robert Kyagulanyi alias Boby Wine ni Shujaa na Ngangari zaidi ya Tundu Lissu. Huyu Kijana atampa mno Tabu Mzee Yoweri Uganda.
 
Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea

"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential candidate Robert Kyagulanyi has said in the Iganga Chief Magistrate's court.

NTV Uganda

Kuna Wanasisa wa nchi zingine hasa Jirani Wao pia wakikamatwa tu na kwenda Mahakamani wanaishia Kulia, Kujamba na Kuwaza Wataishije Jela.
Tundu Lissu ni kiboko cha wote EAC block yote hakunaga!
 
Msamehe bure huyo! Labda kwa vile hukijui ndiyo 7bu ya hasira hizi zote za kumtupa jongoo na mti wake
Nimeanza kuwa Wordsmith tokea nikiwa Tumboni sijazaliwa hivyo sioni haja ya Kujitutumua hapa Kwenu ili mnione nakijua mno. Acheni Ushamba!
 
Mtu Kiboko anaweza akawakimbia Watu wake na kwenda kula zake Bata na Kuku huko Ubeleshini kwa Mabeberu wake waliokuwa wakimtumia TZ?
Huyo shujaa wako wa Uganda alishawahi miminiwa risasi 16 mwilini akasavaivu?

Tundu Lissu dunia nzima inamshangaa na kumheshimu kama ni "walking miracle".

Tundu Lissu hamwogopi hata amiri jeshi wenu mkuu, ndiyo maana alikuwepo wakati wote wa kampeni (kama huyo shujaa wako wa Uganda) na alikuwa akimpa za uso amiri jeshi wenu hadi alitembelea magoti kuomba kura dadeki!
 
Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea

"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential candidate Robert Kyagulanyi has said in the Iganga Chief Magistrate's court.

NTV Uganda

Kuna Wanasisa wa nchi zingine hasa Jirani Wao pia wakikamatwa tu na kwenda Mahakamani wanaishia Kulia, Kujamba na Kuwaza Wataishije Jela.
cc: Tundu Lissu, Zitto Kabwe, Maalim Seif, Sheikh Ponda
 
Nimeanza kuwa Wordsmith tokea nikiwa Tumboni sijazaliwa hivyo sioni haja ya Kujitutumua hapa Kwenu ili mnione nakijua mno. Acheni Ushamba!
Ushamba ni kudai unajua unaelekea Sauzi, wakati kwa kila hali ni dhahiri unakaribia Saudi Arabia.
 
Huyo shujaa wako wa Uganda alishawahi miminiwa risasi 16 mwilini akasavaivu?

Tundu Lissu dunia nzima inamshangaa na kumheshimu kama ni "walking miracle".

Tundu Lissu hamwogopi hata amiri jeshi wenu mkuu, ndiyo maana alikuwepo wakati wote wa kampeni (kama huyo shujaa wako wa Uganda) na alikuwa akimpa za uso amiri jeshi wenu hadi alitembelea magoti kuomba kura dadeki!
Kuna Watu ni Wapumbavu hapa hadi najiuliza ni kwanini CORONA haikuondoka tu nanyi ili mtupunguzie hizi Kero. Hivi aliyekudanganya kuwa Mwanasiasa kupigwa Risasi ndiyo Kipimo tosha cha Ushajaa wake? Hivi Nelson Mandela au Mwalimu Nyerere ambao 24/7 dunia inawalilia Sifa zao wanazopewa na Harakati tena za Kumzidi Tundu Lissu wako zilizotokana na Wao Kutopigwa Risasi kama Tundu Lissu? Nimekudharau sana.
 
Sawa wewe uliye mwelevu sana.
Lakini logic inatufundisha kuwa matusi ni indicator tosha ya kuumizwa na fact iliyosemwa, halafu aliyeumizwa akakosa hoja ya kui negate.

Ni candidate wa Mirembe tu ndiye atakateshindwa kung'amua kuwa aliyoyapitia Tundu Lissu hakuna mwanasiasa yeyote (si EAC tu bali almost Africa nzima) aliyewahi kuyapitia!
 
Kupigwa Risasi Kwako Wewe ndiyo justification ya Ushujaa wa Mwanasiasa katika nchi fulani? Tafadhali choma Moto Vyeti vyako vya Chuo Kikuu.
 
Tanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
Akina mrema,LIPUMBA,cheyo hao NI wasaka tonge....wanasiasa MAKINI NA WAPINZANI WAKWELI WAPO...NA UNAWAJUA,NA KUWAHESHIMU....ILA TU UNAJIFANYA HUWAONI....,UNAFIKIRI YULE MLOMPIGA NA RISASI ZA KUULIA TEMBO,NYATI,NA DINOSAUR...NA BADO MKAMUIBIA KURA ZAKE,NA BADO MKATAKA KUMMALIZA TENA...,YEYE SIYO MPINZANI?ANGEKUWA MSAKA TONGE JUHUDI ANGEUNGA ZAMANI.,KWA PESA ZENU CHAFU

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom