Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Jela za afrika zinafafana ukiweza kaa jela za afrika huwezi shindwa kaa kuzimulabda jela za Uganda zina kiyoyozi ,hizi zetu ni kadirisha tuu cha hewa
Ni kweli ila yote yana mwisho. nkurunziza yuko wapi saivi, mamaeh analiwa na wadudu tu huko chini ya ardhi ..hata wana burundi washamsahau..
Utajua mwenyeweWewe ni me au ke
Sawa hamna tabuChizi ni wewe, maana huelewi anachofanya. Hiyo familia yako nayo itakuwa matope tu kwa jinsi ww ulivyo
Hayati Nelson Madiba Mandela angekuwa tu na Akili za Kipumbavu kama zako Weusi wa Afrika Kusini wasingekuwa Huru leo na dunia isingemlilia.
Amefanya nn mpaka umtusi kiasi hicho?Yule Bob wine huwa namwona Kama chizi ,anaitesa familia na ndugu zake tu.
Hivi Hana mshauri? Mtu Kama huyo hapaswi kuwa na familia.
Akili kama hizi ndio zimetufikisha waafrika hapa tulipo, ujinga na uoga wa kuwaabudu wenye mamlakaHata ashauriwe vipi hawezi katu kuelewa chochote maana akili zake ameziacha maili elfu huko London & Washington na wala hata hajakaa kutamani tena kuziendea maana kakolewa na kunogewa mihela yao.
Ninachojua tu ni kwamba kila Mwanadamu ni Mnafiki na hakuna Maisha bila ya Unafiki na ndiyo maana hata Wewe anayekukaza ulimfanyia Unafiki.
Kwahiyo ni vyema kusiwe na upinzani? Au iweje mkuuNi kujitafutia matatizo na shida tu zisizo na msingi. yaani wapinzani ni wapumbavu na wenye akili za mfano wa vichaa. Bobi Wine ni mpumbavu sana.
Tanzania chini ya utawala huu ni jehanamu ndogo,endeleeni kumsifu mtu wenu bwasheeTanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
If the issue is criticizing a leadership by calling a leader dictator, Bob wine has not been the first to do so. Lissu has been doing and said that several times since 2015.Baada ya Kukamatwa Juzi na leo kupelekwa Mahakamani angalia jinsi Mwanasiasa Jasiri wa Uganda Robert Kyagulanyi alias Boby Wine alivyojitetea.
"I am not here because I committed a crime. I am here because I offered myself to lead Ugandans into ending 35 years of a dictatorship," Presidential candidate Robert Kyagulanyi has said in the Iganga Chief Magistrate's court.
NTV Uganda
Kuna Wanasisa wa nchi zingine hasa Jirani Wao pia wakikamatwa tu na kwenda Mahakamani wanaishia Kulia na Kuwaza Wataishije Jela.
Are you really serous?Kama ulikuwa mtu wa kujitambua enzi za His Excellency President for Life,Field Marshall,Al Hadji,Doctor Idi Amin,VC,DSO,MC,CBE,Lord of All the Beast of Earth and Fishes of the Sea,Conqueror of British Empire.Utakuwa umemkosea Mungu kwa kumkumbatai mtu mbakaji,mwongo,mshenzi,dhurumati,muuwaji wa malaki ya Waganda na kuwalisha mamba wa mto Nile.Naona hata Iddy Amini walimwonea sana kumtoa madarakani - waliomfuata ni hatari sana
Watawala wa kiafrica baba na mama yao ni mmoja. Hakuna dikteta anaeang'atuka copy na paste
Lugha unayojua wewe kama juha. Tatizo lako huwa si jingine bali kujiaminisha unajua zaidi ya kila mtu! Huyo Kaguta wako mwanzishie uzi siku nyingine. Wapo watu ni moving encyclopedia wako tuli. Wewe ni self-proclaimed much know! Acha uzi huu uendelee. Haijalishi hata kama uliuanzisha na ulterior motive!Nina Madini ya Kutosha sana ya kumuhusu Rais Museveni na Maisha yake yale unayoyajua na hata usiyoyajua pia Juha Mwandamizi kabisa Wewe.
Huyo Rais Museveni na hata Rais Paul Kagame nimeshawahi Kuwaanzishia Uzi hapa hapa JF tena miaka ya 2014 hapo hivyo ni Jukumu lako Juha Wewe kuzitafuta ili ujiridhishe nazo. Wakati Wewe ukingojea hadi Mimi niwazungumzie hawa kwa Kujiita moving encyclopedia Mimi naweza kukupa hata yale ambayo hukuwa na Hadhi ya Kuyajua ya Kuwahusu hao na ambayo ni Clandestine kabisa. Acha Kunipotezea muda!Lugha unayojua wewe kama juha. Tatizo lako huwa si jingine bali kujiaminisha unajua zaidi ya kila mtu! Huyo Kaguta wako mwanzishie uzi siku nyingine. Wapo watu ni moving encyclopedia wako tuli. Wewe ni self-proclaimed much know! Acha uzi huu uendelee. Haijalishi hata kama uliuanzisha na ulterior motive!
Usisahau na wewe hapo ni mpinzani wa Bobi Wine,tuseme na wewe ni mpumbavu?.Ni kujitafutia matatizo na shida tu zisizo na msingi. yaani wapinzani ni wapumbavu na wenye akili za mfano wa vichaa. Bobi Wine ni mpumbavu sana.
Self- contradictory! Uzi wa vipenzi wako wa Bahima Empire uliishautoa miaka hiyo, ya nini leo kumuongelea? Uncalled for katika uzi wa leo. Tulikusoma. Yatosha. Usituchoshe na huo udaku wako clandestine kuhusu huyo mheshimiwa aliyemshinda The Jackal, si stahiki yetu kuujua! Mjuaji much- know.Huyo Rais Museveni na hata Rais Paul Kagame nimeshawahi Kuwaanzishia Uzi hapa hapa JF tena miaka ya 2014 hapo hivyo ni Jukumu lako Juha Wewe kuzitafuta ili ujiridhishe nazo. Wakati Wewe ukingojea hadi Mimi niwazungumzie hawa kwa Kujiita moving encyclopedia Mimi naweza kukupa hata yale ambayo hukuwa na Hadhi ya Kuyajua ya Kuwahusu hao na ambayo ni Clandestine kabisa. Acha Kunipotezea muda!
Tafuta wa Level yako Wewe FOOL na acha kunipotezea muda wangu hapa sawa? Na namalizia kwa kukuambia kwa hao hunidanganyi lolote Kwao.Self- contradictory! Uzi wa vipenzi wako wa Bahima Empire uliishautoa miaka hiyo, ya nini leo kumuongelea? Uncalled for katika uzi wa leo. Tulikusoma. Yatosha. Usituchoshe na huo udaku wako clandestine kuhusu huyo mheshimiwa aliyemshinda The Jackal, si stahiki yetu kuujua! Mjuaji much- know.
Level! Unajiona sana. Sio sifa njema. Najaribu kukurudisha kwenye uzi wako mwenyewe hutaki. Popoma jeuri, mjivuni, mjuaji na mjuvi. Rudi kwenye mada!Tafuta wa Level yako Wewe FOOL na acha kunipotezea muda wangu hapa sawa? Na namalizia kwa kukuambia kwa hao hunidanganyi lolote Kwao.
Wewe unapimagaje utajiri kwani!??Kituko!
Tanzania ni tajiri tangu lini?