kama jamaa anafanya uchizi na anapata sapoti kubwa kiasi kile na bado unamzungumzia basi kuna haja ya kuwa chiziYule Bob wine huwa namwona Kama chizi ,anaitesa familia na ndugu zake tu.
Hivi Hana mshauri? Mtu Kama huyo hapaswi kuwa na familia.
Hali ya maisha kwa watu wakeWewe unapimagaje utajiri kwani!??
Dkt. JPM anaposema Tanzania ni nchi tajiri kuliko & ingepaswa kuwa taifa hisani kwa wengine, huwa anamaanisha nini???Hali ya maisha kwa watu wake
Kwani JPM ninani hasa Hadi uamini anachosema?Dkt. JPM anaposema Tanzania ni nchi tajiri kuliko & inayopaswa kuwa taifa hisani kwa wengine, huwa anamaanisha nini???
Na siyo tu kuwa najifanya najua bali nakuthibitishia najua mambo mengi na ya kila Nyanja na ndiyo maana unaniona nipo kote kote tu. Ni baraka!!Level! Unajiona sana. Sio sifa njema. Najaribu kukurudisha kwenye uzi wako mwenyewe hutaki. Popoma jeuri, mjivuni, mjuaji na mjuvi. Rudi kwenye mada!
Hujajibu swali, umepuyanga tu. Kwani wewe nani hasa kiasi cha kuwa na sifa za kumhoji Dkt. JPM??? Swali haliko kwenye ukweli ama uongo wa kilichosemwa. Simply, aliposema hivyo, hivi unajua alimaanisha nini??? Swali rahisi sana, aisee!Kwani JPM ninani hasa Hadi uamini anachosema?
Huoni waTanzania Hali zao za maisha zilivyo?
Hujajibu swali, umepuyanga tu. Kwani wewe nani hasa kiasi cha kuwa na sifa za kumhoji Dkt. JPM??? Swali haliko kwenye ukweli ama uongo wa kilichosemwa. Simply, aliposema hivyo, hivi unajua alimaanisha nini??? Swali rahisi sana, aisee
Wewe ndy unapuyangaHujajibu swali, umepuyanga tu. Kwani wewe nani hasa kiasi cha kuwa na sifa za kumhoji Dkt. JPM??? Swali haliko kwenye ukweli ama uongo wa kilichosemwa. Simply, aliposema hivyo, hivi unajua alimaanisha nini??? Swali rahisi sana, aisee!
Nimesema, kwa kumnukuu Dkt. JPM, kwamba Tanzania ni nchi tajiri kuliko & ingepaswa kuwa taifa hisani kwa nchi zingine. Umekanusha. My simple question, Dkt. JPM anapotumia maneno hayo, hivi unajua huwa anamaanisha nini??? Save our precious time, please!!?Wewe ndy unapuyanga
JPM simjui,nimekuuliza swali unacommand jibu langu nilipate kwa huyo JPM
Hvyo ni vituko vingine
Jibu swali languNimesema, kwa kumnukuu Dkt. JPM, kwamba Tanzania ni nchi tajiri kuliko & ingepaswa kuwa taifa hisani kwa nchi zingine. Umekanusha. My simple question, Dkt. JPM anapotumia maneno hayo, hivi unajua huwa anamaanisha nini??? Save our precious time, please!!?
Inaamaana sentensi hio ndo imekufanya uone Tanzania hakuna wapinzaniTanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
Heko na hongera. Umeongea bila matusi. Sasa kweli ni mtusi. Nakujua unajua. Wanaojua hata matusi yenyewe hawajui. Matusi ni below their level.Na siyo tu kuwa najifanya najua bali nakuthibitishia najua mambo mengi na ya kila Nyanja na ndiyo maana unaniona nipo kote kote tu. Ni baraka!!
Demokrasia ni mfumo uliobuniwa na mataifa ya kimagharibi na kuusambaza sehemu mbalimbali duniani kwa njia mbalimbali mojawapo ni misaada kwa lengo la kuweza kupenya na kuingia katika nchi mbalimbali na kutawala kupitia vibaraka wao na kupora rasilimali.Unawapenda sana madikteta sijui una tatizo gani la kiakili.
Mbunge anapigwa risasi mchana, mbele ya kamera za ulinzi, na mtuhumiwa haguswi?