Hivi kuna Mwanasiasa kweli wa Kitanzania mwenye Ujasiri wa kuongea maneno haya mbele ya Hakimu kama Boby Wine wa Uganda?

Kupigwa Risasi Kwako Wewe ndiyo justification ya Ushujaa wa Mwanasiasa katika nchi fulani? Tafadhali choma Moto Vyeti vyako vya Chuo Kikuu.
"am not here because I committed crime..I am here because I offered myself to lead ugandans into ending 35 yrs of dictatorship"Hii NDIYO justification ya ushujaa kwa mwanasiasa?(kwako)aisee Nina mashaka na kilichopo kichwan kwako...inawezekani hakuna tofauti na MTUNGI WA GESI

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Kupigwa Risasi Kwako Wewe ndiyo justification ya Ushujaa wa Mwanasiasa katika nchi fulani? Tafadhali choma Moto Vyeti vyako vya Chuo Kikuu.
My friend, usimlinganishe Tundu Lissu na hao mediocres wako wengine.

Tundu Lissu comes in as a complete package.

1) Akili yake ni kubwa kuliko amiri jeshi mkuu wako na shujaa wako wa Uganda combined

2) Amewatumikia wananchi kwa muda mrefu (zaidi ya miongo 2) kuliko amiri jeshi mkuu wako ambaye ukiachia urais amekuwa mshiriki mkuu katika kupitisha mikataba yote ya kifisadi dhidi ya wananchi katika kipindi hicho

3) Siyo mwoga kama wewe uliyejificha nyuma ya keyboard kwa kutumia jina la antibiotics. Lissu alijepeleka mwenyewe polisi Dodoma kuangalia gari lake lililomiminiwa risasi lakini pia kuwapa polisi fursa ya kumhoji kuhusu kupigwa kwake risasi 16 lakini both OCD na RPC waliingia mitini. Yaani polisi wenyewe walimkimbia dadeki!

4) Anaogopwa sana na CCM, hususani mwenyekiti wenu. Na Tundu Lissu analijua hill ndiyo maana kwenye kampeni alikuwa anampa za uso hadi aliishia kutembelea magoti kuomba kura!
 
Unaelekea Kunitibua zaidi na Kuipandisha Mizimu yangu ya Kizanaki na Kimakuwa kisha nikujibu hovyo ( kunya ) uishie tu Kukasirika na Kunichukia.
 
Mimi sikasirikagi comrade.

Badala yake, ukinisemea kunya, mimi nafurahi tu maana inakuwa ni kiashiria kuwa "message sent, delivered, received, understood and educated".

Tema nyongo, comrade, temaaa!😂😂
 
Tanzania hakuna wapinzani bali kuna Wasaka Tonge!
Wasakatonge mbona mnawapiga risasi, mbona mnatumia jeshi la polisi kupambana na wasakatonge?

Nani msakatonge kati ya wapinzani na wale wanaonunua uteuzi kwa wajumbe kisha kutumia silaha kutafuta kura ?
 
Yule Bob wine huwa namwona Kama chizi ,anaitesa familia na ndugu zake tu.

Hivi Hana mshauri? Mtu Kama huyo hapaswi kuwa na familia.
Museveni alipindua serikali ya Obote kwa mtutu, vipi kama angeuawa vitani, familia yake isingeteseka!?
 
Mimi sikasirikagi comrade.

Badala yake, ukinisemea kunya, mimi nafurahi tu maana inakuwa ni kiashiria kuwa "message sent, delivered, received, understood and educated".

Tema nyongo, comrade, temaaa!😂😂
Tema nyongo kaka! Eti anakumbia utachukia, uchukie kwa lipi!?
 
Hawezi kusema hivyo kwa sababu anajua M7 ni mzalendo wakati yeye ni just a Western & European imperialist puppet. Halafu, aisee, huu ung'eng'e wako ulivyopinda mbona PM Netanyahu hajauediti lakini???
Mkuu ung'eng'e wangu ni wa capital letters tu hapo. Kama umepinda, sawa tu.
 
Kama Carlos The Jackal alipewa Jukumu la Kumuua Rais Museveni pale Entebbe Airport kwa Maelekezo ya aliyekuwa Rais wa Sudan Omar Bashir alishindwa kuna Mpumbavu mwingine ataweza Kummaliza? Na kwa Kukusaidia tu Kukamatwa kwa Carlos The Jackal kuliratibiwa vyema na Rais huyo wa Sudan baada ya kuhisi kuwa huenda Carlos The Jackal alipewa Pesa na Museveni akashindwa Kumuua. Sudan ndiyo iliwatonya Interpol mahala alikokuwa Carlos The Jackal ndipo nao wakawatuma Askari wao kutoka nchini Ufaransa ambapo walimkamatia huko Sudan Rais Museveni ana vitu vingi ambavyo huwa vinamkinga mno ashindwe Kuuwawa au Kupata Shambulio lolote. Naomba niishie hapa tafadhali.
M7 na PK watoto watiifu wa hayati baba wa Taifa Mwalimu Nyerere.

Boby Wine hawezi kushindana na babu yake alieingia msituni kuanzia mwaka 1970.

Hata hivyo tuache tuone hii cinema inapoishia.

Naomba niishie hapa.
 
Yule Bob wine huwa namwona Kama chizi ,anaitesa familia na ndugu zake tu.

Hivi Hana mshauri? Mtu Kama huyo hapaswi kuwa na familia.
Chizi ni wewe, maana huelewi anachofanya. Hiyo familia yako nayo itakuwa matope tu kwa jinsi ww ulivyo
 
Kama Carlos The Jackal alipewa Jukumu la Kumuua Rais Museveni pale Entebbe Airport kwa Maelekezo ya aliyekuwa Rais wa Sudan Omar Bashir alishindwa kuna Mpumbavu mwingine ataweza Kummaliza? Na kwa Kukusaidia tu Kukamatwa kwa Carlos The Jackal kuliratibiwa vyema na Rais huyo wa Sudan baada ya kuhisi kuwa huenda Carlos The Jackal alipewa Pesa na Museveni akashindwa Kumuua. Sudan ndiyo iliwatonya Interpol mahala alikokuwa Carlos The Jackal ndipo nao wakawatuma Askari wao kutoka nchini Ufaransa ambapo walimkamatia huko Sudan Rais Museveni ana vitu vingi ambavyo huwa vinamkinga mno ashindwe Kuuwawa au Kupata Shambulio lolote. Naomba niishie hapa tafadhali.
Na kweli ishia hapo. Naona umeanza kuelekea kusiko. Unaharibu uzi mzuri. Umeuliza unajibiwa unaanza toa ushuzi. Lugha unayojua!
 
Nina Madini ya Kutosha sana ya kumuhusu Rais Museveni na Maisha yake yale unayoyajua na hata usiyoyajua pia Juha Mwandamizi kabisa Wewe.
 
Mkuu, kumbe nawe wamfahamu uzuri huyu mzee wa harataki Kaguta.

Basi mimi nikuwa kijana mdogo sana nilikuwa naona mzee Kaguta na wazee fulanifulani wa kiTZ wakiandaa zile karatasi za harakati, kabla hajapewa "go ahead" ya kuingia Kampala kimoja.

Mmoja wa hao wazee wamepiga darasa moja na Kaguta pale UDSM.

Kuna kipindi Kaguta alikuwa anavaa kale kakoti kake kale kakuukuu akiwa chuoni.

Anaifahamu DSM A-Z na mikoani.

Juzi nimemwona apiga "push-ups" huyu mzee matata sana.

Lakini , haya maisha na harakati ni hapa hapa duniani.
 
Kwa wengineo kweli naweza nisiwajue Kindakindaki ila nashukuru kwa hawa akina Museveni na Kagame hunidanganyi Kitu juu yao tena kwa 99%.
 
Watawala wa kiafrica baba na mama yao ni mmoja. Hakuna dikteta anaeang'atuka copy na paste
Ni kweli ila yote yana mwisho. nkurunziza yuko wapi saivi, mamaeh analiwa na wadudu tu huko chini ya ardhi ..hata wana burundi washamsahau..
 
Back
Top Bottom