Haaaaaahaaaaa ww humjui vizuri ushimen!Mkuu safi sana,Maana watu wamezoea negativity kila kitu.Hata na mimi pia nimempa mrs Nguvu sio Pesa mtaji ni kama miezi 8 sasa imepita.Pesa yangu kanirudishia na mambo yanakwenda fresh
True simjui Ushimen,Ila nimejibu kutokana na alicho kiandika thats all.Haaaaaahaaaaa ww humjui vizuri ushimen!
Mliopewa biashara/ mitaji na wanaume poleni sana mnasemwa kila kona mngepambana kama sie yasingewakuta haya.
Haaaaaahaaaaa bc huyo co wa kufata sana maneno yke!True simjui Ushimen,Ila nimejibu kutokana na alicho kiandika thats all.
Kumbe bora kila mtu apambane kivyake tu
Unaweza kuta pesa uliyorudishiwa imetoka kwa mwanaume mwingine, na bado anaendelea kujazia mtaji.Mkuu safi sana,Maana watu wamezoea negativity kila kitu.Hata na mimi pia nimempa mrs Nguvu sio Pesa mtaji ni kama miezi 8 sasa imepita.Pesa yangu kanirudishia na mambo yanakwenda fresh
Nop,auditing nimekua nikifanya mimi ya baishara na pia anacheza viccoba.Vyote hivi vimesadia kurudisha pesa angu.Unaweza kuta pesa uliyorudishiwa imetoka kwa mwanaume mwingine, na bado anaendelea kujazia mtaji.
Baadhi ya wanawake ni wajanja sana Mkuu, kuna mmoja Mchepuko mmoja nilikuwa nao, ni mke wa mtu lakini ilikuwa ikifika siku moja kabla ya marejesho, lazima nifahamu maana mimi ndo nilikuwa sponsor wa hayo marejesho. Ni wajanja sana hususan suala la supliment ya pesa ya matymizi anayopewa na mume wake.Nop,auditing nimekua nikifanya mimi ya baishara na pia anacheza viccoba.Vyote hivi vimesadia kurudisha pesa angu.
Kwanza unamfungulia mwanamke ambaye kiuhalisia sio ndugu yako wa damu ke utakua na akili timamu?
Unamfungulia mwanamke biashara kwann usiwafungulie wale wadogo zako kule kijijini?
Unachosema ni kweli,lakini nikisema auditing kwenye post yangu ya awali ni kwamba wakati wa tafuta hata baishara nilishiriki mimi mwenyewe kutengeneza business plan na hata kabla ya hapo.Baadhi ya wanawake ni wajanja sana Mkuu, kuna mmoja Mchepuko mmoja nilikuwa nao, ni mke wa mtu lakini ilikuwa ikifika siku moja kabla ya marejesho, lazima nifahamu maana mimi ndo nilikuwa sponsor wa hayo marejesho. Ni wajanja sana hususan suala la supliment ya pesa ya matymizi anayopewa na mume wake.
Inabidi utofautishe mkuu ni aina gani ya wanawake unaosemea, kina mama wa sasa sio wale w zama zileUmeona ehh....
Yaan hata kama biashara imeshindikana ukapata hasara utaletewa maneno tuu.. mara alikuwa hafatilii. Mara wanawake hawawezi biashara.
Wakati wengne humu wamesomeshwa na kulelewa na mama zao ambao walikuwa wafanyabiashara.
Inabidi utofautishe mkuu ni aina gani ya wanawake unaosemea, kina mama wa sasa sio wale w zama zile