Hivi kuna mwanaume aliyewahi kumpa mpenzi wake biashara halafu ikafanikiwa?

Hivi kuna mwanaume aliyewahi kumpa mpenzi wake biashara halafu ikafanikiwa?

Mkuu safi sana,Maana watu wamezoea negativity kila kitu.Hata na mimi pia nimempa mrs Nguvu sio Pesa mtaji ni kama miezi 8 sasa imepita.Pesa yangu kanirudishia na mambo yanakwenda fresh
Haaaaaahaaaaa ww humjui vizuri ushimen!
 
Umeona ehh....

Yaan hata kama biashara imeshindikana ukapata hasara utaletewa maneno tuu.. mara alikuwa hafatilii. Mara wanawake hawawezi biashara.

Wakati wengne humu wamesomeshwa na kulelewa na mama zao ambao walikuwa wafanyabiashara.
Mliopewa biashara/ mitaji na wanaume poleni sana mnasemwa kila kona mngepambana kama sie yasingewakuta haya.
 
Mkuu safi sana,Maana watu wamezoea negativity kila kitu.Hata na mimi pia nimempa mrs Nguvu sio Pesa mtaji ni kama miezi 8 sasa imepita.Pesa yangu kanirudishia na mambo yanakwenda fresh
Unaweza kuta pesa uliyorudishiwa imetoka kwa mwanaume mwingine, na bado anaendelea kujazia mtaji.
 
Nop,auditing nimekua nikifanya mimi ya baishara na pia anacheza viccoba.Vyote hivi vimesadia kurudisha pesa angu.
Baadhi ya wanawake ni wajanja sana Mkuu, kuna mmoja Mchepuko mmoja nilikuwa nao, ni mke wa mtu lakini ilikuwa ikifika siku moja kabla ya marejesho, lazima nifahamu maana mimi ndo nilikuwa sponsor wa hayo marejesho. Ni wajanja sana hususan suala la supliment ya pesa ya matymizi anayopewa na mume wake.
 
Ndo ulio waowa?? usiwe nje ya mada! aoma mada ielewe
Kwanza unamfungulia mwanamke ambaye kiuhalisia sio ndugu yako wa damu ke utakua na akili timamu?

Unamfungulia mwanamke biashara kwann usiwafungulie wale wadogo zako kule kijijini?
 
Baadhi ya wanawake ni wajanja sana Mkuu, kuna mmoja Mchepuko mmoja nilikuwa nao, ni mke wa mtu lakini ilikuwa ikifika siku moja kabla ya marejesho, lazima nifahamu maana mimi ndo nilikuwa sponsor wa hayo marejesho. Ni wajanja sana hususan suala la supliment ya pesa ya matymizi anayopewa na mume wake.
Unachosema ni kweli,lakini nikisema auditing kwenye post yangu ya awali ni kwamba wakati wa tafuta hata baishara nilishiriki mimi mwenyewe kutengeneza business plan na hata kabla ya hapo.

Na mbali na hiyo pia yeye mwenyewe ana asili ya kutunza pesa hii pia niliona kutoka hata kwa mama ake mzazi mtu anaweza akawa ana shillingi laki mmoja kama akiba ya ndani na asiguse hata kama amepatwa shida gani.Emotional control ya pesa iko strong kwake sana.Na pia background yake inachangia sana maana aliteswa sana na ndugu wa mwanaume kwa kunyangwa mali kwahiyo nachoona nikwamba ana drive ya mafanikio.Huyu kipindi anafanya kazi kwenye mgahawa wake alikua anaamka saa kumi alfariji kuwahi ferry kwa ajili ya kuchukua samaki.Tena anabeba ndo kwenye daladala.Ukimungalia huwezi dhania kama anaweza fanya hivyo.

tukirudi kwenye swala lako kuhusu wanawake kua wajanja wajanja sana hiyo inatokea kama mtu anapenda mteremko,ambayo itafamnya atumie short cut.Binafsi nilikua na design hiyo yeye akija ni kwa ajili ya kuliwa apate pesa kwa ajili ya viccoba.Lakini ukimwambia kuwekeza afanye biashara nyingine anadai eti inachosha.Nilimkimbia.
 
Inategemeana na aina ya mwanamke unaekuwa nae. Au mke unae kuwa nae? Sometimes kama mke ana akili biashara inakuwa kabisa yaani. Inamea ... ila kama umekutana na mwanamke kichwa maji lazima utoe chozi, kama mpenda starehe pesa yote anaila.. halaf anakuja kusingizia hasara.
Ila ukimpa hela uwe una monitor matumiz maana hawachelewi hawa
 
Umeona ehh....

Yaan hata kama biashara imeshindikana ukapata hasara utaletewa maneno tuu.. mara alikuwa hafatilii. Mara wanawake hawawezi biashara.

Wakati wengne humu wamesomeshwa na kulelewa na mama zao ambao walikuwa wafanyabiashara.
Inabidi utofautishe mkuu ni aina gani ya wanawake unaosemea, kina mama wa sasa sio wale w zama zile
 
Sawa. Poleni kwa kuoa mnaowaona hawawezi kuwasaidia au kusimamisha biashara...
Inabidi utofautishe mkuu ni aina gani ya wanawake unaosemea, kina mama wa sasa sio wale w zama zile
 
Back
Top Bottom