Hivi kuna Mwanaume yoyote hapa nchini Tanzania ambaye huwa ' hadanganyi ' kabisa pale akiwa ' anamtongoza ' Mwanamke?

Hivi kuna Mwanaume yoyote hapa nchini Tanzania ambaye huwa ' hadanganyi ' kabisa pale akiwa ' anamtongoza ' Mwanamke?

Acha Uwongo Wewe hakuna Mwanaume anayemtongoza Mwanamke chini ya Jua hili / Mwezi huu hadanganyi kwa namna moja au nyingine.
Sasa utadanganya nini? Hebu niambie. Nitadanganya nina ghorofa wakati sina? Huo utakuwa utoto sio kutongoza. Sasa utadanganya nini? Kwamba dunia yote ni yako?. Kama ni gari si ndio hilo hilo analoliona wakati namtongoza. Hakuna kitu nisichokipenda kudanganya wakati wa kutongoza. Tena nakuwa wa kwanza kumwambia nimeoa na nina watoto kadhaa. Mademu wa siku hizi hata umwambie umeoa hawakatai. Sasa nakusadia kitu,Wewe jaribu uwe tu unapomtokea. Lakini wakati huo huo,uwe na 90% ya kukataliwa. Utaona matokeo yake. (Muda mwingine najikuta tu najaribisha wakati huo huo nataka akatae,lakini wapi unakuta kaingia
 
Back
Top Bottom