Hivi kuna namna yeyote ile 7 - 1 jibu likawa 5? Tusaidiane mawazo

Hivi kuna namna yeyote ile 7 - 1 jibu likawa 5? Tusaidiane mawazo

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Je, kuna any possible scenario ambapo 7 - 1 outcome ikawa ni 5? Kweli hakuna kabisa uwezekano?
 
Itawezekena endapo utamaanisha arangenent ya numerical = 1,2,3,4,6,5,7..... yaani 5 =(1+1+1+1+1+1) in short for a genius it is possible since number is nothing but meaning.
 
Inawezaka kabisa kwa sababu moja nyingine inakuwa imepotea katika mazingira ya kutatanisha. 7-1-1=5
 
Back
Top Bottom