Hivi kuna nchi nyingine Waziri anafanya hivi, au ni Tanzania tu?

Sahihi. Hata marais huwa wanaenda. Timu yantaifa ninmali ya taifa. Waziri kamili angestahili kwenda.
 
Ratiba za maendeleo zipo nyingi mkuu, kama kuangalia lile zoezi la maticha la kumchangia kizmkaze fomu yake kama limefika hata 90%, tunaangalia na baadhi ya mikoa ambayo bado watoto wa darasa la kwanza wanakaa chini, ili tufanya tathmini ya kukopa tena kwenye nchi wezeshi🚶🚶🚶.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…