kalisheshe
JF-Expert Member
- Mar 19, 2020
- 2,064
- 4,056
Kuna Ferre gola huko anaimba rumba mpk basi.Hapa koffi olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza.
Kuna ngoma kali kuishinda hii?
Ferre gola ana nyimbo nzuri ila hamfikii hata kidogo huyu legendKuna Ferre gola huko anaimba rumba mpk basi.
Na juzi walikua na Kofi Paris alimwalika.
Hawezi kumfikia mwalimu wake,Ferre gola ana nyimbo nzuri ila hamfikii hata kidogo huyu legend
Aimbe nyimbo zote koffi lakini hatokuja kuimba wimbo mzuri zaidi ya ULTIMATUMHapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza.
Kuna ngoma kali kuishinda hii?
Loi ni kali sanaAlbamu ya Loi ilikuwa ya moto sana. Hata Koffi anakiri albamu ya Loi na V12 zilikuwa na ufundi mwingi.
Ultimatum imezidiwa hata na force de frappeAimbe nyimbo zote koffi lakini hatokuja kuimba wimbo mzuri zaidi ya ULTIMATUM
View: https://www.youtube.com/watch?v=QOqIwtGYuX8
HahaNgoma kalii sana hii Ah mingizile, ba yaya mingizile. Ah mingizile, ba yaya mingizile. Nge umvuata wayisa, wasi samenu. Kala i ngangu ngowu mwe bai ka sakane eh
Hapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza.
Kuna ngoma kali kuishinda hii?
View: https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
Jaribu nyingine ya Koffi olomide....inaitwa...NgouliHapa Koffi Olomide aliwekeza akili zote hii ngoma ni kali sana, nimekua nikiirudia zaidi ya mara moja kila nikiisikiliza.
Kuna ngoma kali kuishinda hii?
View: https://www.youtube.com/watch?v=ETzJwQlXTsE
Nasikitika..... Ngouli...haipo!!!!Kwasisi wapenzi wa rhumba koffi olomide aliua kweny hz masterpieces
Bambino
Fauta djallon
Gross bebe
Eputsha
Airways
Nakuunga mkono. Ultimatum ni kali kuliko loi.Aimbe nyimbo zote koffi lakini hatokuja kuimba wimbo mzuri zaidi ya ULTIMATUM
View: https://www.youtube.com/watch?v=QOqIwtGYuX8
Wanaiita sangulo 'zangul' ni moto wa kuotea mbali. 🔥Kasikilize etat major,
Loi ni nyimbo iliyo hit, sio kali kushinda zote.
Kali sasa ni hiyo etat major ya extra music.
Maoni yangu.
Nayo nzuri lakini sio kuizidi hiyo Loi bwanaKasikilize etat major,
Loi ni nyimbo iliyo hit, sio kali kushinda zote.
Kali sasa ni hiyo etat major ya extra music.
Maoni yangu.