Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

Hivi kuna ngoma kali kuishinda Loi ya Koffi Olomide?

Mkuu kalisheshe asante sana umenikumbusha mbali sana enzi ambazo muziki ulikuwa muziki. Unakumbuka chuma cha wenge musica Kalaye boeng?
 
Kuna dude lao lile la "Kalayi Boeng" kikosi cha WENGE MUSICA kimekamilika Didier Masela, Adolf Dominguez, Allain Makaba, Werasson, Blaize Bula na mbabe JB Mpiana lile dude nimelicheza utotoni mpaka leo lilkipigwa lazima niache kazi zangu zote nilisikilize.

Sijui kwanini wale jamaa waliamuaga kujitenga, they were untouchable.


View: https://www.youtube.com/watch?v=A6w3iwoIG8Y

Djojo ng"onda pia mwana
 
  • Muzina
  • Mamou
  • Nadina
  • Nakei Nairobi
  • Kokola
  • La Jean
Zipo nyingi...
 
Back
Top Bottom